Ndugu zangu, Nawasalimu.
Nina miliki boti ya uvuvi yenye uwezo wa kuvua bahari kuu, chombo kinaweza kubeba hadi tani moja na nusu ya samaki. Kwa mazingira yetu ya Kitanzania, chombo hiki ni cha kisasa na kinatumia injini ya ndani (Inboard) ya isuzu yenye HP 95.
Nahitaji nahodha mjuzi, mzoefu...