boti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mzito Kabwela

    Azam Marine boresheni vyoo vilivyoko kwenye boti zenu za Unguja kwenda Pemba

    Nimesafiri na Boti za Azam kutoka Dar kwenda Unguja mara nyingi, wamefanikiwa kuwa wasafi, ndani ya boat na hata kwenye vyoo vyao. Zile "boat" zinazofanya safari ya Unguja kwenda Pemba na Pemba kuja Unguja kwa kweli ni chafu. Ni chafu kuanzia kwenye viti hadi vyooni. Sielewi ni kwa nini...
  2. beth

    Senegal: Watu wapatao 48 hawajulikani walipo baada ya boti kupinduka

    Takriban watu 48 hawajulikani walipo baada ya boti iliyokuwa imebeba abiria wapatao 60 kupinduka Pwani ya Kaskazini mwa Nchi hiyo. Abiria 11 ambao 8 ni Raia wa Senegal na 3 ni Raia wa Gambia wamekolewa Kumekuwa na ongezeko kubwa la Wahamiaji wanaofanya safari hatarishi kutoka Barani Afrika...
  3. Offshore Seamen

    Mifumo rafiki kwa watumiaji boti kwa shughuli mbalimbali.

    Kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta kila mara, si watumiaji pekee wa magari wanaoathirika. Boti ndogo za uvuvi,utalii na matumizi binafsi wamekuwa wakitumia petrol kwa ajili ya kuendeshea boti zao. Sasa inabidi kutumia njia mbadala za nishati kama jua,umeme au gesi asilia kuendeshea...
  4. Linguistic

    Bangladesh: Bwana harusi na wageni wake wapigwa na radi, wajeruhiwa na wengine wafariki dunia

    Wakuu, Radi nchini Bangladesh imewapiga na kuwaua wageni 17 waliohudhuria sherehe ya harusi moja nchini humo. Watu 14 wengine ikiwemo bwanaharusi walijeruhiwa. Wakati huo bi harusi hakuwepo katika sherehe hiyo. Sherehe hiyo ilikuwa inafanyika katika boti moja katika mji uliopo karibu na mto wa...
Back
Top Bottom