boxing

  1. Kasie

    Happy Boxing Day With Love 💖 From Us......

    Mabibi na Mabwana wa JF.... Kasinde na Mahabibi wake (Da.....) tunawatakia siku ya ufunguaji maboksi mwema. Yetu tushafungua tukiwa na pajama (Usiulize maswali, sina majibu) sasa twaenda sakata rhumba viunga vya baharini...... si kwa joto hili la Mbagala.... Enjoy your day, with...
  2. Merci

    Angalia pambano kali la ndondi (Boxing) kati ya Canelo Alvare vs Caleb Plant

    Wale wapenzi wa boxing unaweza kuangalia sasa pambano la Canelo vs Plant kupitia link hii Boxing : Canelo Alvare vs Caleb Plant - HesGoal.Com Sports News
  3. Albaab

    Dar Boxing Derby

    Pambano la sita 'super heavy weight' kati ya Hafidh Mlawa na Emmanuel Philimon lilikuwa kali sana!!! Ila kitendo alichokifanya bwana Emmanuel baada ya pambano kumalizika ni kibaya sana, dharau kubwa, ni cha kukemewa na BFT pamoja na wadau wote wa mchezo wa ndondi/masumbwi Tanzania. Pole sana...
  4. Ziroseventytwo

    Boxing heavy weight mbona Afe Ajagba hazungumzwi sana

    Hakuna cha Wilder, Fury, Joshua wala nani. Kwa sasa kuna mwamba m1 anaitwa Afe Ajagba. MnaNigeria huyo. Anapigana uzito wa juu. Baba! Ukimaliza round 3 wewe unabahati. Jamaa anapiga ngumi nzito. Kuna jamaa alikimbia pambano. Mpaka sasa hajapoteza pambano lolote. Ningependa kuona mapromota...
  5. screpa

    Mchezo wa Ngumi (Boxing) unaelekea kufa tena wasiporekebisha haya

    Kwa kipindi cha miaka kama miwili hivi mchezo wa ngumi ulionekana kurudi kwa kasi na kuanza kufuatiliwa na watanzania wengi kama ilivyokuwa huko nyuma enzi za kina Rashid Matumla. Hii ilichochewa kwa kiasi kikubwa na uwepo wa Mwakinyo ambaye alipata jina baada ya kumtwanga Mwingereza ambaye...
  6. Kibukuasili

    Kwanini ngumi zinachezwa usiku wa manane?

    Mimi ni mshabiki mzuri wa ngumi. Hivi karibuni kumekua na mwamko mkubwa wa ngumu za kulipwa nchini. Shida kubwa inakuja pale panapokua na pambano zuri lakini muda unakua sio rafiki kabisa. Tukiangalia ngumi za Marekani ambazo nyingi wanapigana Las Vegas huwa zinakua masaa ya alfajiri kwetu. Kwa...
  7. Analogia Malenga

    Wazee wa masumbwi, ligi ya kick boxing inaendelea Azam

    Vifuti, mateke ya kutosha, Mawashi, yoko na mai gel za kutosha, Leo kutakuwa na mapambano sita, yote ntakuwa naupdate hapa Michezo yote ina rounds Tatu Pambano la Kwanza Frank Moshi Vs Jafari Juma Mshindi Jafari Juma Pambano la Pili Ally Said Vs Patna Ally Mshindi, Ally Said Pambano la...
  8. Liverpool VPN

    Wale wazee wa BOXING (Dynamite Vs Joe Royce)nani mshindi leo

    ---- FUTA NYUZI HII ...... Moderator
Back
Top Bottom