Moshi yote:
*Hakuna Toyota branch;
* Hakuna Authorized Dealer;
* Hakuna Authorized Service Workshop;
*Hakuna hata Authorized Parts Dealer
Nilisikiaga kuwa Moshi ni jiji, why Toyota Tanzania Ltd alipe kisogo jiji hilo la wajuaji?
Kuna jamaa zangu hapo wamefika mji huo jioni ya leo na...
Habari za Jumapili?
Katika maisha unapitia na changamoto kama hizo, nina mikopo japo sio mikubwa sana lakini inaniweka wasiwasi sana nisije nikaenda jela bure natafuta namna niwalipe madeni yao, lakini uchumi wa kati baba/mama kwangu ni shida sana; unasumbua sana mimi kwangu upo wa mwisho...
Durham International School, which is one of the oldest schools in England, is set to open its first branch in Africa in Nairobi, Kenya.
The school is located in the leafy suburbs of Thigiri and is expected to open in January 2021.
The school will offer the British curriculum and will start...
Toyota Tanzania Limited is opening a new branch in Mbeya and is now seeking well qualified, result oriented, dynamic and enthusiastic professionals to fill in the following positions below:
1. Auto Cleaner
Good car washing skills, at least two years’ experience in a reputable carwash or...
Hawa wadai wangu wanapenda kunikumbusha kwa SMS hasa hawa Branch. Leo natangaza mwisho wao kwani line yangu inafungwa muda si mrefu sijui watamtumia nani SMS.
Ikibidi TCRA yakwangu fungeni sasahivi, za wengine subirini sa 6 usiku. Ahsante NIDA kwa kutusaidia.
Poleni M-Power poleni Branch...
Nashangaa sikuizi sioni tena zile sms zenu "mara tupo mtaaani kwako tunakupa masaa mawili uwe umelipa kabla hatujakukamata" na zile za kunitangaza kwenye vyombo vya habari eti mimi ni mdaiwa sugu lkn kuna ka sms kalikuwa kananikera kweli eti mnanitumia RB No. kisha mnaniambia natafutwa kitengo...
Sasa unaweza kopa hadi shilingi milioni moja za kitanzania kupitia simu yako janja ya mkononi na kurejesha kidogokidogo mahali popote na wakati wowote.
Ili kupata mkopo inabidi uwe na vitu vifuatavyo:-
(a)uwe na kitambulisho, eidha cha kupigia kura, cha taifa au leseni ya udereva.
(b)laini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.