brand

  1. youngkato

    Kila mmoja anasema pesa zipo kwenye personal brand! Lakini hawasemi maana halisi ya Personal brand

    Kila mmoja anasema pesa zipo kwenye personal brand! Lakini hawasemi maana halisi ya Personal brand. Kwa lugha ya mtaani personal brand ni kama yule dalali ambaye anajulikana mji mzima. Na kila mtu ana namba yake. Lakini kwa online ni tofauti kabisa! 👇👇👇Tuangalie hapa Huku online ukisema...
  2. Camilo Cienfuegos

    Unatumia mswaki brand gani, tushirikishe

    Shalom wakuu… Unatumia mswaki brand gani nzuri? Maana miswaki yetu hii ya whitedent ya jero jero ukiswakia mara chache tayari haifai. Brand ipi nzuri wakuu?
  3. E

    TV4Sale Brand New Smart Android Google Tv available

    Wakuu TCL 75" QLED Android Google Tv available now ✅ Model C655 🔥 Ram 2GB Internal Storage 32GB 🔥 Model Year 2024 🔥 Offer Price 2.800,000/- TU CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404 Location Kkoo
  4. luckWill

    Brand New samsung S25 ultra for sale

    Karibu ujipatie Quick Deal Samsung S25 ultra ⚙️256GB - 3,300,000/= ⚙️512GB - 3,500,000/= Top Up Allowed Special offer S24 ultra > S25 ultra lipia 1,900,000/= tu Mobille - 0750240240 Whatsapp - 0768866186
  5. E

    Phone4Sale Nauza Brand New Samsung S24 Plain

    Brand New Samsung Galaxy S24 128GB ni 1,650,000/- 256GB ni 1,800,000/- CALL/SMS/WHATSAPP 0683731404
  6. Mindyou

    Diva: Mimi sina muda wa kukaa chini kumfulia mwanaume. Brand yangu kubwa sana.

    Wakuu, Kwa hiyo wanaume wa Daslam huyu anayejiita Diva The Bawse ndo mmeshindwa kabisa kumtuliza na kumuweka ndani? Na hapa unakuta kuna mwanaume anampa huyu dada kila kitu kuanzia mafuta ya gari, kodi ya nyumba mpaka hela ya kusukia lakini kuinama kufua anaona ni adhabu. Wanaume wa Dar...
  7. kayanda01

    OBD2 Scanner for personal use kwaajili ya Japanese cars. Brand gani ni nzuri?

    Wakuu, Title yajieleza. Nahitaji ObdII Scanner ambayo ni more portable na simple kutumia for personal use. Targeted vehicles ni Japanese, i.e Kluger, Raum, Ist, Premio, Wish, Harrier, etc. Iwe corded or wireless. Moderate price. Nichukue brand gani?
  8. tajiri wa fikra

    Computer4Sale Laptop brand new

    chuma hiki hapa,mpya📌 DELL LATITUDE 3380 14inch Display, 7th Generation Intel Core i5, 2.7GHz RAM 8Gb DDR4 Storage 500Gb HDD Battery Health: 100% 6 Month Warranty *Price 520,000/- Phone:0712793505
  9. sinza pazuri

    Nani ni Brand ambassador bora Tanzania kwa sasa kati ya Babalevo, Idriss Sultan, Mwijaku na Joti?

    Nilikuwa natazama nominations ya tuzo fulani hapa Tanzania. Nikaona majina ya brand ambassadors wanaochuana kama mnavyoona kwenye picha. Kwa mtazamo wako unadhani ni nani bingwa hapa kwa kuitambulisha bidhaa kwa mteja na ikamvutia na kuitumia? Mimi kwa sasa nasimama na Babalevo.
  10. Bob Manson

    Brand ipi ya Printer ni nzuri kwa matumizi madogo ya nyumbani?

    Wakubwa shkamooni wadogo habari zenu... nawaza niongeze printer ili process ya input na output ikamilike, naomba mnijuze ni ipi brand nzuri ya printer kwaajili ya matumizi madogo ya nyumbani.
  11. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Azam Company na Azam Media yaani Yanga SC kupitia Ali Kamwe wanaichafua 'Brand' yenu nyie mmenyamaza tu

    Ukiwa na Akili timamu na umemsikiliza vyema kabisa Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe utakubaliana nami kuwa kwa 100% anaichafua Brand ya Azam Company na Azam Media (hasa Tv yao) ila cha Kushangaza Watu wa Azam wala hawalioni na wanaona sawa tu. Hivi Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe kusema kuwa Azam Tv...
  12. Mad Max

    Audi wamezindua EV Brand China inaitwa AUDI, bila zile "rings" nne tulizozizoea!

    Hawa Wajerumani sijui wamepaniki na speed ya Mchina kwenye EV? Ili week Audi wamezundua brand specifically kwa EV uko China inaitwa AUDI, kwa herufi kubwa na bila zile rings za siku zote. Brand hii ni muungano wa Wajerumani Audi na Mchina SAIC, na kuanza wameanza na kutoa gari lao la AUDI E...
  13. Bullshit

    Natoa Tsh 100,000 kwa ku design seasoning bottle brand

    Nina biashara yangu ya kuuza viuongo, nataka mtu anaweza kudesign muonekano mzuri wa brand yangu kwa bidhaa zifuato Tea masala : 100g Black pepper: 500g Garlic: 250g Ginger: 250g Cinnamon: 250g Nataka logo iwe juu na jina la bidhaa chini la logo yakiwa makubwa kidogo alafu chini ni ujazo wa...
  14. Forest Hill

    Namna ya kutambua simu unayonunua kama ni Brand new au Refurbished

    Kuna Post Mdau kauliza Duka gani lina reputation nzuri ya kuuza SIMU ZA SAMSUNG ORIGINAL NA SIO REFURBISHED? Nimeona nijibu kama Post Mpya kwa Faida ya wengi, kwa miaka mingi niliyouza Simu,nimeona maduka makubwa wakiuza vitu FAKE,used kwa bei ya kitu KIPYA, wateja wengi hawajui na hawana...
  15. Brojust

    Kumbe huyu Kiwi historia yake ni toka mwaka 1886 mpaka leo Brand yake haijashuka

    Wakuu za muda huu; Dah, mimi naitumiaga sana, lakini sijujua kumbe brand yake ni ya kitambo sana, mwenye maelezo zaidi atatusaidia kwenye comment hapa chini. Picha hapo chini zinajieleza. NB: Kwa yeyote anayejua maana ya KIWI naomba utiririke kwenye comment hapa chini.
  16. Mad Max

    Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  17. Gulio Tanzania

    Brand gani ya T-shirt plain ambazo hazipauki kwa haraka

    Habari zenu wadau Nimekuja kwenu ili nipate msaada nipate Tshirt plain hasa nyeupe ambazo nitazitumia kuprint tangazo kwa ya biashara yangu Mara ya kwanza nilichukua Hot basic manga sababu ni bei rahisi nilinunua nyingi nikaziprint nyingi nikagawia watu baada ya muda mafupi naona Tshirt zile...
  18. Brojust

    Watengeneza maudhui (content) hili limekaaje na athari yake ni nini kwa mlaji wa mwisho na brand husika

    Salaam. Nimeliona hili muda mrefu ila sababu leo ni Dabi ya kariakoo nimeamua kuliongelea. Nimeliona kwa baadhi ya wasanii, comedian, watangazaji na baadhi ya watu maarufu. Utakuta mtu ana mkataba na Yanga, alafu pia ana mkataba na wasafi bet, sasa anavaa jezi ya Yanga alafu ana Blur mdhamini...
  19. biznes_dealz

    Phone4Sale Tunauza iPhone 6, GB 64

    Hii simu nitaiuza hapa kwa bei ya kutupa ya Tshs 200,000 tu. Mikoa yote ya Tanzania tunatuma. Piga 0742786967
  20. mkalamo

    Indian-origin astronaut Captain Sunita Williams and her fellow veteran NASA astronaut Butch Wilmore are set to fly into the ISS on the brand new space

    Washington, May 6 Indian-origin astronaut Captain Sunita Williams and her fellow veteran NASA astronaut Butch Wilmore are set to fly into the International Space Station (ISS) on a brand new spacecraft, the Boeing Starliner on Monday. The duo will launch into space from the Cape Canaveral...
Back
Top Bottom