Nahitaji mtu anaeuza flatscreen smart TV inch 32 brand Hisense. Napatikana Morocco ATS office eneo la Ada estate. Tunaandikishiana ofisini hapa kabisa.
Malipo: Nitalipa kwa two installments in a month.
Watsap No:0783 242247
Kimzaha mzaha wakati inaonekana anahangaika kuipandisha brand ya Simba ukweli ni kwamba kwenye issue ngumu ni muoga sana, Simba ilipofikia kuna siku itechaza hata na Manzese united wakasema simba imepuliizia sumu na habari ikasambaa Afrika nzima ikaamini.
CEO hizi habari anakausha kimya hadi...
Sasa hapa nchini Tanzania imekuwa ni kawaida Timu yoyote ile ya VPL ikija kucheza na Simba SC uwanja wa Mkapa na ikifingwa tu Kihalali (Kimchezo) itasingizia kuwa walipuliziwa Dawa Vyumbani.
Upuuzi huu waliuanza Timu ya Azam FC na baadae tena wakaja nao Namungo FC, kisha Kagera Sugar FC na...
Huduma nzuri na bora ya kutengeneza, kudariz na kuchapa logo/nembo kwenye t-shirts na shirts kwaajili ya wafanyakazi/wanafunzi na matukio mbalimbali.
BEI; Kudarizi ni sh 13,000@ pamoja na t-shirt (Original form sx) na kuchapa/printing ni sh 11,000@ pamoja na t-shirt (Original from sx). Karibu...
Habari wadau
Nauza air condition mpya kabisa, sealed in box
Bei ya kuuza ni laki tano fixed ( haipungui kiasi chochote) mimi nilinunua laki 7, risiti ipo
Brand ni BRUHM
Nilinunua kwa ajili ya kuifunga kwenye barber shop .. kwa sasa wazo la barber shop limeniondoka, nimeona niiiuze tu maana...
Habari 👋🏽
Je, ni chapa gani hufikiria zaidi hata kama hutumii bidhaa zao? // What brand do you think about the most when you're not even using their product?
Binafsi hufikiria chapa za Adobe, Snapchat, TikTok, Apple na Lay's. Snapchat na TikTok hujiuliza namna na utendaji wa mitandao hiyo na...
Wadau samahani,
Nauliza ni jiko lipi la gesi ambalo kioo chake hakivunjiki na kuchoma gesi vizuri. Nauliza hili because jiko langu nililonunua mwaka jana limevunjika kioo hivi karibuni na kidogo tujifiche chini ya uvungu kwa kuzani ni majambazi ya Vikindu yamehakia nyumbani kwangu, kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.