MAMELODI SUNDOWNS 🟡🔵 nimewatazama wakishinda 2-1 mbele ya Maniema Union ugenini leo, ukweli ni kwamba hawana tena ufanisi ule waliokuwa nao mwaka mmoja au miwili nyuma na hata ushindi wa leo basi washukuru uwepo wa Ronwen Williams langoni na mabadiliko ya haraka ya kuingia kwa Peter Shalulile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.