Nyota wa Tamthilia ya Breaking Bad, Aaron Paul amedai kutolipwa Mirabaha yake na Kampuni ya Kuonesha Maudhui ya Netflix, inayoonesha Tamthilia hiyo
Japokuwa Breaking Bad imekuwa moja ya tamthilia ambazo zimetazamwa zaidi Netflix kwa miaka mingi, Paul anadai kuwa hapokei chochote kutoka kwao...