brela

Brela (pronounced [brě̞la]) is a municipality in the Split-Dalmatia County of Croatia, population 1,771 (2001). The municipality consists of two villages: Brela and Gornja Brela. Village Brela is located on the Adriatic coastline of Dalmatia, about 15 km northwest of Makarska.
Brela is a tourist town located between the Biokovo mountain and the Adriatic Sea. It is known as the pearl of Makarska riviera. The pearl of Adriatic or the pearl of Mediterranean is the name given to the city of Dubrovnik. In 1968 Brela was crowned as "Champion of Adriatic" for high achievements in tourist activity.

The symbol of Brela is "Kamen Brela" (Brela Stone), a small rock island just off the main beach in Brela, the Punta Rata beach. In 2004, American magazine Forbes put the Punta Rata beach on the list of 10 world's most beautiful beaches, where it is ranked 6th in the world and 1st in Europe.

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    BRELA wamezifuta Kampuni za LBL, halafu wanaishia kusema Watu wamepigwa. Hela za watu zimepelekwa wapi?

    Kwamba LBL ilikua inahamisha hizo Pesa?. Kwamba hizo Pesa zipo kwenye akaunti za LBL lakini BRELA wameamua kuzifuta Kampuni hizo ,Ili Sasa wao ndio wazishikilie hizo Pesa?
  2. Consultant_Silwano

    Umuhimu wa kurudisha taarifa za brela kila mwaka kwa makampuni yaliyosajiliwa kufikisha kipindi cha kuanzia mwaka mmoja tangu yasajiliwe(brela return)

    BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya Sheria ya Makampuni ya mwaka 2002. Hata hivyo, utekelezaji wa mfumo wa mtandaoni kupitia ORS (Online...
  3. mirindimo

    KERO Mfumo wa Usajili Biashara (ORS BRELA) haufanyi kazi, ni kama umepata shambulio

    Katika hali isiyo ya kawaida website ya kusajilia Kampuni ya ORS iliyo chini ya BRELA iko down kwa zaidi ya masaa 3 sasa ! Ikitoa ujumbe wa "capacity problem" message kama hizi hutokea pia ambapo kuna kua na shambulio la DDoS katika website
  4. Jaji Mfawidhi

    BRELA mnataka Mkurugenzi wenu atumbuliwe ?

    Wakala wa Usajili makampuni BRELA ni wakala wa serikali ambapo watu wanaofungua makampuni , majina ya biashara na alama ya Biashara ndio wahusika wakuu. BRELA imehamia mirambo/ BOT na IFM kutoka Ushirika mnazi mmoja. Imeajiri vijana weni waliokuwa mawakili na watu wa IT. BRELA , hawa vijana...
  5. T

    Kusomana kwa mifumo BRELA NA TRA

    Baada ya serikali kuanza utaratibu wa kuhakikisha mifumo yake inasomana kuna utaratibu mzuri unaohakikisha kuwa ukishasajiri kampuni ile namba yako ya usajiri ndiyo namba hiyohiyo kwa ajili ya mlipa kodi. Yaani ni namba hiyohiyo ya TIN Registration kwa sababu mifumo inasomana. Hili ni jambo jema...
  6. Optimistic_

    Usajili wa majina ya biashara na kampuni BRELA

    Kama unahitaji kusajili kampuni au jina la biashara Kubadili jina la biashara au kampuni n.k. Nitumie ujumbe whatssap au piga simu 0765991551. Nikufanyie mchakato hadi kazi yako ikamilike.
  7. S

     Mfumo wa BRELA ORS ni changamoto kubwa

    Niende mojakwamoja kwenye kichwa cha habari. Mfumo wa Brela Ors imekuwa changamoto kubwa sana kwa watumiaji. Nimejaribu kuifungua toka alhamisi tarehe 19 desemba 2024 haipatikani mpaka leo. Watu wa IT Brela wamekuwa slow sana kuishughulikia tatizo hili. Je, tutafika kweli kama mfumo huu...
  8. Cute Wife

    BRELA kufanya maboresho ya Mfumo wa Usajili kwa njia ya Mtandao (ORS) Disemba 20 mpaka 23, 2024

    Wakuu, TAARIFA KWA UMMA CHANGAMOTO ZA MFUMO WA USAJILI KWA NJIA YA MTANDAO (ORS) Dar es Salaam-19 Desemba, 2024 Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) inapenda kuutaarifu umma na wadau wake kuwa inatarajia kufanya maboresho ya miundombinu ya mfumo wake wa usajili kwa njia ya mtandao...
  9. Mtoa Taarifa

    KERO BRELA boresheni Mifumo yenu, kila ikifika jioni Mfumo wa Kusajili Kampuni unasumbua mara haufunguki

    Ni wazi kuwa BRELA imefanya kazi kubwa katika kusaidia usajili wa majina ya biashara na kampuni hapa Tanzania, lakini changamoto ya mtandao wao kusumbua inazidi kukatisha tamaa wengi, hasa nyakati za jioni! Wajasiriamali, wafanyabiashara, na wananchi kwa ujumla wanategemea huduma za mtandaoni...
  10. J

    Kuhusu usajili wa Kampuni nahitaji kueleweshwa jambo

    Tunahitaji kusajili kampuni tuiite ABC INC tukiwa na maana ya ABC INCORPORATED sasa swali ni je pale BRELA usajili huu utakubalika? Au ni mpaka kuwe na Limited mwishoni? Swali 2: Ikiwa ABC INCORPORATION LIMITED kwenye document zetu za kiutendaji tunaweza kutumia ABC INC? Nipo tayari kujifunza...
  11. ubongokid

     Wateja wanaporipoti matatizo ya kimfumo BRELA wahudumu wanawaunga na idara ya IT lakini simu hizo hazipokelewi

    Brela BRELA Niwaite Hapa Tuongee: Kuna katabia kenu ambapo mteja akipiga simu ambayo inahusisha Tatizo la kimfumo Agents wenu wanamwambia kwamba wanamuunga na watu wa Tekniko au sijui ndo IT halafu hio simu ya hao IT ama inaita haipokelewi au haiiti kabisa halafu na tatizo wala hamliripoti...
  12. Mindyou

    Uchunguzi: Wakopeshaji wa mitandaoni hawajasajiliwa na BoT wala BRELA na uendeshaji wao umejaa vitendo vya udhalilishaji

    Siku 36 baada ya mwandishi wa Nipashe kuwasilisha maswali Benki Kuu ya Tanzania (BoT), kutaka kujua kwanini wakopeshaji mitandaoni wanadhalilisha wakopaji, taasisi hiyo imetengeneza mwongozo kwa watoa huduma ndogo za fedha wa daraja la pili, wanaotoa huduma za mikopo kidijitali. Agosti 19 mwaka...
  13. Optimistic_

    Usajili wa jina la biashara na kampuni (BRELA)

    USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA) Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi. Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara na makampuni. Nakuandalia kila kitu kuanzia nyaraka zote zinazohitajika. Nipigie 0765991551
  14. Arch Barrel

    Msaada kutoka Brela

    Wakuu habar za mchana, najua humu kuna account official ya Brela. Nahitaji msaada wa dharura Kuna Agent nilimpa task ya kunifanyia annual filling na custom search, lakn mpaka sasa ni wiki ya 6 sipati majibu ya maana zaidi ya kuendelea kupoteza hela na muda huku hitaji langu likiwa linaendelea...
  15. daydreamerTZ

    Sajili jina la biashara bure leo

    OFA KABAMBE! Je, unahitaji kusajili jina la biashara? Hii ni nafasi yako ya kipekee! Day Dreamer TZ Consultancy inatoa OFA maalum ya kusajili majina mawili ya biashara kwa watu wawili Tu, BURE! (Hakuna ada ya huduma.) Utalipia tu gharama za control namba, kiasi cha Tsh 20,000/= TU, ambazo...
  16. daydreamerTZ

    Je, unakwamishwa kuanza biashara yako leo?

    Karibu Day Dreamer Tz Consultancy, watatuzi wa changamoto zako kwenye: 1. Usajili wa Jina la Biashara Brela - Tunakusaidia kusajili jina la biashara lako kupitia BRELA (Business Registrations and Licensing Agency). Hii ni hatua muhimu ya kisheria inayokuwezesha kufanya biashara kwa jina...
  17. Blender

    BRELA: Hili tatizo la kufungua accounts (ORS), ni mimi tu nakumbana nazo au na nyie Pia

    Nawasalimu Kwa USD dollars. Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS). Yaani inazingua mno, kuna Muda inashindwa Hata Ku fetch NIDA informations za mfungua company. Najua humu JF kuna wadau...
  18. Dungeon

    KERO Mfumo wa BRELA ni mbovu, Mnachochea uhujumu uchumi

    Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu. Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa na mamlaka timu nzima ya TEHAMA Brela ningeifutilia mbali. Makodi yenyewe yapo juu kwa uzalendo...
  19. chrisman49

    Msaada ison bpo ltd registration number toka Brela

    Habari ndugu zangu, Nina shida na namba ya ison bpo ltd toka BRELA, ISON ilikuwa inafanya kazi na Tigo miaka ya nyuma, ni kwa ajili ya madai ya PSSSF. Nawasilisha wakuu.
  20. mraniwene

    KERO Website ya ORS BRELA kila siku nikiingia haifanyi kazi

    Habari wadau, naona website ya ORS BRELA, kila siku nikiingia haifanyi kazi, mara inachelewa kufunguka. Je, inazidiwa matumizi au wadau wanafaidika kwa kufanya hivi? bado sijaelewa kabisa.
Back
Top Bottom