Brela (pronounced [brě̞la]) is a municipality in the Split-Dalmatia County of Croatia, population 1,771 (2001). The municipality consists of two villages: Brela and Gornja Brela. Village Brela is located on the Adriatic coastline of Dalmatia, about 15 km northwest of Makarska.
Brela is a tourist town located between the Biokovo mountain and the Adriatic Sea. It is known as the pearl of Makarska riviera. The pearl of Adriatic or the pearl of Mediterranean is the name given to the city of Dubrovnik. In 1968 Brela was crowned as "Champion of Adriatic" for high achievements in tourist activity.
The symbol of Brela is "Kamen Brela" (Brela Stone), a small rock island just off the main beach in Brela, the Punta Rata beach. In 2004, American magazine Forbes put the Punta Rata beach on the list of 10 world's most beautiful beaches, where it is ranked 6th in the world and 1st in Europe.
Mahitaji kwa ajili ya kampuni
1. Namba za Nida (kila mtu yake)
2. TIN numbers (Kila mtu yake,TIN yoyote aliyonayo kwa jina lake)
3. Phone, email, (kila mtu yake)
4. P. O. Box zenu.
5. Mahali mnapokaa kila mtu
6. Memorandum & Articles of Associtaion iliyopigwa mhuri wa mwanasheria
7. Pesa ya...
Wafanyabiashara wanaoagiza mahindi kutoka Tanzania watahitajika kujisajili na BRELA, kupata kibali cha biashara na kuwasilisha cheti cha kibali cha kodi kilichotolewa na BRELA kabla ya kusafirishwa nje ya nchi
Notisi iliyotolewa na Wizara ya Kilimo ya Tanzania inawataka wafanyabiashara wa...
Inasikitisha, zamani kusajili jina la biashara ilikuwa ni siku tatu za kazi lakini sasa hali imekuwa mbaya sana.
Biashara majina yanachukua zaidi ya mwezi mmoja.
Sio mimi tu, kuna ndugu zangu kama wawili wamesajili kampuni kwa njia ya mtandao, mwingine ofisini aliniambia alisajili jina la biashara, hela amelipia lakini hawafanyii kazi baada ya malipo, ukikaa muda fulani wanakuletea email kwamba application yako imekuwa cancelled, na maana yake na hela...
Kama ni ndiyo basi DAY DREAMER TZ CONSULTANCY ni mkombozii Kwako. Sisi ni wazoefu wa masuala yote yakusajili biashara(kampuni au jina la biashara? kuanzia usajili hadi namna gani utaikuza biashara yako.
Huduma zitolewazo
1. Kusajili kampuni
2. Kusajili jina la biashara
3. Kuandaa memorandum and...
Je, ulishawahi kutapeliwa na kampuni iliyosajiliwa!?
Taasisi nyingi za kiserikali na binafsi kwa sasa husajili vitu vingi online ili kurahisisha na kuongeza ufanisi.
Mfano TRA na BRELA.
TRA huweza kusajili TIN no. Bure mtandaoni na BRELA ukasajili kampuni mtandaoni.
Hiii imesaidia vitu vingi...
Mnamo mwaka 2019 Tanzania ilifanya marekebisho ya sheria yake ya Makampuni ya mwaka 2002 na kuleta mambo kadhaa mapya. Marekebisho hayo yaliletwa na sheria ya “The written laws (Miscellaneous Amendments) (No.3) Act, 2019" Kifungu cha 10 cha sheria hii kilileta kifungu kipya cha 400A katika...
Kuna baadhi ya taasisi za serikali zinazokusanya mapato hivi karibuni zimepewa au kuanzaisha namna ya kuongeza mapato yao kupitia sheria mpya,
Mfano BRELA wana sheria ya Kufile Beneficial Ower Details kabla 31, dec,21 kwa makampuni yote, na wanadai kutofanya ivyo faini yake ni...
Mheshimiwa Mkurugenzi wa BRELA,
Hizi ni zama za kidijitali, na tuko fourth industrial revolution.
Lakini hapo kwako BRELA kuna tatizo.
NImeingia mfumo wa ORS nimekwama, na hakuna namna ya kupata msaada wa haraka kutoka customer care office ya BRELA.
Nimechukua namba za customer care staff...
BRELA mmerudi kulekule enzi za Mwalimu za huduma mbovu. Kipindi Rais Magufuli hajafariki ilikuwa huwezi kukaa zaidi ya siku tatu baada ya kufile application yoyote bila kufanyiwa kazi na namba ya bosi ilikuwa kwenye website yao kwa sasa hadi mwezi watu hawajitingishi.
Kuna umuhimu mkubwa wa...
Wakuu habari zenu,
Nimeanza jana kujaribu kusajili Jina la biashara kwa mfumo wa Brela ORS. Nimejisajili vizuri tu ili kuendelea na hatua inayofata, sasa shida ndio imeanzia hapo..
Kila nikijaribu kupakia taarifa ili kuendelea na hatua inayofuata, wao hunigomea. Wanadai kuna taarifa...
Nchi yetu imepita kwenye mabadiliko makubwa sana ndani ya miaka sita.
Kumekua na mageuzi makubwa sana kiutawala na kiuchumi tangu 2015.
Kukataa kwamba mfumo uliokuwepo kabla ya 2015 ulishavunjwa na hauwezi kurudishwa ni kujidanganya, kinachotakiwa ni sasa ni kutembea na mabadiliko kwa serikali...
Salaam wakuu,
Moja wapo ya Initiatives za awamu ya tano katika kuboresha maisha ya watu wake ilikuwa ni kuwatambua na kuwaruhusu wafanyabiashara wadogo qadogo, jambo hilo lilifanikiwa kwa asilimia kubwa na kuiwezesha serikali kupata mapato yake.
Awamu ya sita (6) imeonekana kutokuwa mbali sana...
Kufanya biashara bila kusajiriwa ni kosa kubwa kisheria, Fininnovation Limited itakusaidia kukuhakishia inakusaidia ili uweze kupata kampuni au jina la biashara muda mfupi. Mchakato mzima unachukua muda chini ya week moja kama hakutakuwa na marekebisho.
Siku zote nimekuwa ninasoma habari za Brela, lakini nilikuwa sijui kama wana shida kiasi hiki.
Nimeshuhudia mwenyewe. Kuna mtu anasajili kampuni zake tatu, miezi minne sasa bado anasumbuliwa majina. Kuna majina ali propose yalikataliwa ingawa hayakuwa yamesajiliwa (kupitia search) na sababu ya...
Hello,
za muda huu wana jamvi,
Nilikuwa nafanya application BRELA upande wa prepare e-application sasa nimekutana na changamoto kila ninavyotaka kuproceed inaniambia classes of shares Group must have only one item. naomba nieleweshwe ni nini nakosea?
Shukrani
Andiko hili nimeliona kwenye forums kadhaa, walau Wakili Msomi amekiri kwamba mfumo sasa upo stable.
Kuhusu suala linalolalamikiwa, kwanza nikiri kwamba hoja zake Ni za ukweli na changamoto hii nilishaiona since day one.
Mara kadhaa tumeeleza kuwa kuna kazi tunaendelea nayo ya system...
Matumizi ya teknolojia yanapochukua nafasi kila mtu anategemea ufanisi kuongezeka!
Hii imekuwa kinyume kabisa kwa BRELA, inaumiza, kuleta hasira na hasara sana kwa Wafanyabiashara.
Mwaka jana mwezi wa nne 2020 nilianza mchakato wa kuhuisha taarifa za kampuni yangu ili kuomba leseni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.