Mfumo huu umeboreshwa ili kukuwezesha kupata huduma za usajili wa biashara kwa urahisi, haraka na kwa njia ya kidijitali popote ulipo.
Ili kuanza kutumia mfumo na kuwasilisha maombi ya huduma, fuata hatua zifuatazo:
Hatua ya Kwanza: Kuingia kwenye Mfumo
Tembelea tovuti ya BRELA kupitia...