BRELA
Govt Institution
- Dec 14, 2023
- 119
- 89
Mfumo huu umeboreshwa ili kukuwezesha kupata huduma za usajili wa biashara kwa urahisi, haraka na kwa njia ya kidijitali popote ulipo.
Ili kuanza kutumia mfumo na kuwasilisha maombi ya huduma, fuata hatua zifuatazo:
Hatua ya Kwanza: Kuingia kwenye Mfumo
Iwapo unatumia mfumo kwa mara ya kwanza:
Iwapo tayari ulikuwa na akaunti ya ORS:
UTAWEZA KUINGIA KWENYE MFUMO WA BOS
HUDUMA ZINAZOPATIKANA KWENYE BOS
Usajili wa Kampuni (Company Registration)
Usajili wa Jina la Biashara (Business Name)
Leseni ya Biashara Kundi A (Business Licence Class A)
Leseni ya Kiwanda (Industrial Licence)
Na Taarifa za Sajili na Leseni Kutoka kwa Msajili (Information Services)
HUDUMA MAALUM NDANI YA MFUMO
1. Usajili wa Kampuni
Katika sehemu hii utaweza kupata huduma zifuatazo:
Huduma zinazopatikana ni:
Katika eneo hili utaweza:
Huduma zinazopatikana ni:
Kupitia sehemu hii utaweza:
Ili kuanza kutumia mfumo na kuwasilisha maombi ya huduma, fuata hatua zifuatazo:
Hatua ya Kwanza: Kuingia kwenye Mfumo
- Tembelea tovuti ya BRELA kupitia www.brela.go.tz, kisha bonyeza sehemu iliyoandikwa “Mifumo” na uchague mfumo wa BOS, au ingia moja kwa moja kupitia kiunganishi cha https://bos.brela.go.tz.
Iwapo unatumia mfumo kwa mara ya kwanza:
- Bofya “Get Started”
- Kisha chagua “Create Account”
- Jaza taarifa zako kwa usahihi
- Hakikisha taarifa zote ni sahihi kwa kuzithibitisha
- Mwisho, bofya “Create Account”
- Baada ya kukamilisha usajili, utapokea barua pepe yenye kiunganishi (link) cha kuamilisha akaunti yako (Activate Account). Tafadhali hakikisha unaangalia kwenye kisanduku pokezi (Inbox) au spam/junk folder iwapo hujaona ujumbe huo kwenye kisanduku pokezi.
Iwapo tayari ulikuwa na akaunti ya ORS:
- Bofya “Get Started”
- Chagua “Forgot Password”
- Andika anuani ya barua pepe uliyotumia kufungua akaunti ya ORS
- Kisha bofya “Reset Password”
- Namba za uthibitisho
- Na kiunganisho cha kubadilisha nywila
UTAWEZA KUINGIA KWENYE MFUMO WA BOS
- Jaza barua pepe yako
- Weka nywila
- Kisha bofya “Log In”
HUDUMA ZINAZOPATIKANA KWENYE BOS
Usajili wa Kampuni (Company Registration)
Usajili wa Jina la Biashara (Business Name)
Leseni ya Biashara Kundi A (Business Licence Class A)
Leseni ya Kiwanda (Industrial Licence)
Na Taarifa za Sajili na Leseni Kutoka kwa Msajili (Information Services)
HUDUMA MAALUM NDANI YA MFUMO
1. Usajili wa Kampuni
Katika sehemu hii utaweza kupata huduma zifuatazo:
- Kuhakiki Jina (Name Clearance)
- Usajili wa Kampuni Mpya
- Kubadili taarifa za kampuni
- Kuhuisha taarifa (Data Update)
- Uwasilishaji wa nyaraka (Filing Services)
- Mabadiliko ya kampuni (Change Services)
- Kufunga Kampuni (Winding Up)
- Kufutwa kwenye rejista (Striking Off)
Huduma zinazopatikana ni:
- Usajili wa Jina la Biashara
- Kubadili taarifa
- Kuhuisha taarifa (Data Update)
- Uendelezaji wa jina (Annual Maintenance)
- Kusitisha jina la biashara (Name Cessation)
Katika eneo hili utaweza:
- Kuomba Leseni Mpya za Biashara Kundi A
- Kuona Maombi Yaliyohifadhiwa
- Kufuatilia Maombi Yaliyowasilishwa
- Kuangalia Maombi Yaliyokataliwa
- Kuona Maombi Yaliyokamilika
- Kusimamia Leseni Hai
- Kufuatilia Leseni Zilizokwisha Muda
- Kuona Leseni Zilizofutwa
Huduma zinazopatikana ni:
- Kuomba Leseni au Cheti Kipya
- Kuona Orodha ya Maombi Yako
- Kufuatilia Maombi
- Kutumia Rejesta
Kupitia sehemu hii utaweza:
- Leseni ya Kiwanda kwa viwanda vya kati na vikubwa
- Cheti cha usajili wa kiwanda Kidogo
- Kuomba Utafutaji Rasmi wa Biashara
- Kufuatilia Maombi Yaliyowasilishwa
- Kupata Matokeo ya Utafutaji