Uamuzi huo umefikiwa baada ya kocha huyo kushuhudia timu yake ikifungwa mechi ya 5 kati ya 6 zilizopita za Premier League.
Rodgers aliyeteuliwa kuifundisha timu hiyo FebruarI 2019 na kuiongoza kutwaa Kombe la FA Mwaka 2021.
Mwenyekiti wa Leicester City, Aiyawatt Srivaddhanaprabha amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.