brighton&hove albion

  1. Manyanza

    Aisha Masaka asajiliwa na Club ya Brighton&Hove Albion ya Wanawake

    Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake (Twiga Stars) Aisha Masaka amejiunga na klabu ya Brighton&Hove Albion Ya Wanawake ya pale Ligi Kuu Ya Uingereza Aisha mwenye umri wa miaka 20 amejiunga na Brighton akitokea katika klabu ya BF HACKEN ya nchini Sweden. Statement from Brighton &...
Back
Top Bottom