Habari wadau,
Naombeni ushauri na elimu juu ya Brokers wa DSE.
• Je, ni vigezo gani naweza kutumia kutambua ubora wa Broker.
• Kama uliwahi kushiriki katika soko la DSE je, ulitumia Broker gani na kwanini ulimchagua huyo Broker.
Natanguliza Shukrani. Karibuni.