Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Hali imekuwa mbaya jinsi dunia inavyozidi kugundua njia na mix AI inavyochochea ziada ya ku analysis taarifa.
Kwa sasa makampuni yaliyotegemea a logarithmic kubwa yanaanza kufanya wazi kuchomoa betri wazi wazi.
Masoko ya hisa,forex na mwenendo wa dunia umekuwa mgumu mpaka kufikia wazi wazi unaona inabidi kulazimisha vita ili kimoja kubadilisha dunia.
Kilocho tokea leo na wiki hii XAUUSD ambayo Dhahabu vs USD soko limezidi kwenda juu mpaka kufikia wazamini wa masoko ya forex kuona wanafirisika.
Wamefunga server na wengine wameamua kuzifunga order bila sababu na kuzifanya ziwe na matakwa yao.
Dunia sio fear nime loose usd 9000 sabaabu ni hold mda mrefu na kupewa onyo ambalo sijaelewa na wakati soko la XAUUSD bado lipo strong BUY.