Kumezuka utaratibu wa Wanachuo kuishi kinyumba katika hosteli 'bubu' hususan Msewe, Changanyikeni, Mabibo, Survey, Mlalakua, Makongo na Kigamboni.
Vijana badala ya kusoma wanawaza kudinyana**a.k.a **kuloweka Pamoja na madawa, pombe daily na kuchoropoa vichanga. Hapo usiulize UKIMWI au STD's...