Habarini wakuu,
Naomba kuifahamu kiundani hii shule.
Je, mazingira yake yapoje na je ni rafiki kwa kusoma hasa michepuo ya sayansi?
Vipi kuhusu upatikanaji wa hostels kwa wanafunzi?
Historia ya shule, imeanzishwa lini na perfomance-wise ikoje?
Asanteni.