Buguruni is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 67,028.
Tunauza mbao zilizokomaa zadawa buguruni
2/2 2900
2/4 5000
1 by 8 12000
1by10 16,000
Misumali inch 4 bei 3500
Misumali ya bati ya rangi pakt kg1 bei 10,000
..
Zote hizo ni ft 12
Piga sim 0743257669
Yaani kabisa mtu mzima na heshima yake (anaitwa mama nyumbani na hata boss ofisini) anapita kwenye tope linalonuka chakula kilichoharibika (kinyesi pia labda kipo maana harufu mbaya) kwenda kununua chakula ambacho analisha watoto, ndugu na marafiki
Ukiridhika kupata chakula chako katika...
Tukiwa tunaelekea mwisho wa mwaka, Basi nawakaribisha SHALOOM AFRICA kwa ajili ya huduma zote za kiofisi. Tunapatikana Buguruni sheli na namba zetu zipo kwenye bango letu.
Karibuni sana.
Wananchi wa Mtaa wa Buguruni Kata ya Njombe mjini Mkoani Njombe wamelalamikia uwepo wa vibaka ambao wamekuwa tishio katika usalama wao na kuwataka viongozi watakaoshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwenda kuweka mkakati wa kupambana nao.
Wananchi hao akiwemo Anna Msigwa na Maneno Ilomo...
Habari za usiku wakuu! Kuna mtoto wa miaka 10 amekutwa amejinyonga chumbani kwake hapa Buguruni.
Maelezo ya kina hayajapatikana ila kwa maelezo ya awali ni kwamba mtoto katoka shule mida ya saa tisa jioni na baada ya kufika nyumbani amefanya shughuli ndogo ndogo na baada ya muda umeingia...
Amani iwe nanyi, watu wa Mungu.
Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli.
kwa kutumia kampuni yangu ya SHALOOM AFRICA ENTERPRISES nimeamua kutengeneza centre ya Biashara hapa Buguruni itakayo...
Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi,
Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye asili ya wahima ndugu wa watutsi,.
Kwa tamaduni na mazoea ya watu wa mkoa wa Kagera huzikwa...
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500.
Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa tunauziwa 1000, kuna mpaka kipimo cha 500 kama ukiomba unapata wali na maharage.
Nataka nihame hapa...
Niaje wakuu!
Naomba kuelekezwa, au kuunganishwa na mtu anayeweza kunisaidia kupata chumba cha elfu20 (20,000/=) au chini ya hiyo.
NB: Hata kama hakina umeme wala rangi fresh tu!
Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya kijani.
Nikasogea...
Wadau tujuazane kuhusu ujenzi unaindelea pale buguruni, hizi nchi zetu za hovyo sana kazi inaendelea na hamna taarifa yoyote kwa wananchi.
Kila siku napita pale nione hata bango linaloelezea nini kinaendelea lakini wapi.
Kujenga Mfugale Fyover sasa imedhihirika kuwa haijatatua msongamano mkubwa wa magari.
Tatizo ni junction ya Buguruni/Mandela/Vingunguti roads.
Naamini Wizara ya Ujenzi kupitia TANROADS in wahandisi wa kutosha kubuni(design) Interchange ya kuondoa kero hii amnayo sasa imekithiri.
Kwa sasa hivi...
Mara kwa mara nimekuwa mtumiaji wa Soko la Buguruni lililopo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam, lakini kiukweli, hali sio nzuri hasa kipindi cha mvua.
Kwanza wafanyabiashara wanapanga bidhaa zao mpaka Kituo cha Daladala hali inayowafanya wapita njia na abiria kupata wakati mgumu.
Pia...
Judith Mhina ni mkurugenzi wa makampuni ya PMM 2001 ESTATES LTD ambayo yanamiliki utitiri wa majumba na majengo Msasani, Mikocheni, Oysterbay na Masaki.
Pia anamiliki eneo kubwa sana la bandari kavu Vingunguti Nyerere Road.
Mama huyu alitaka kununua Vingunguti yote na Buguruni Mnyamani ili...
Habarini ndugu wana JamiiForums,
Hivi kiwanda cha Bakharesa pale Buguruni ni uhakika kupata kazi ya kibarua ukiwa na barua ya utambulisho wa makazi?
Na hivi wanalipa kwa siku au wiki?
HAKUNA USAFIRI UNAOWAFIKISHA WAKAZI WA ENEO HILI MOJA KWA MOJA MPAKA FERRY.
Abiria wa eneo hili wameomba kilio chao kusikilizwa na mkuu wa mkoa, kwani wamekuwa wakipata tabu sana, hivyo kulazimika kupanda mabasi mawili ili kufika ferry, ambayo kwao imekuwa ni mzigo mkubwa kutokana na maisha kwa...
Licha ya juhudi zilizowahi kufanywa na viongozi wa Jiji la Dar es Salaam kudhibiti biashara ya ukahaba na uzururaji jijini humo, shughuli hiyo inaendelea kama kawaida, Mwananchi limebaini.
Baadhi ya viongozi waliowahi kuongoza Dar es Salaam, akiwemo Paul Makonda walianzisha kampeni za kupambana...
Jana niliona Buguruni mafuta ya kupikia yapo kama ya alizeti kabisa yameenea kila mahali sokoni wanauza 4200 kwa lita jee ni mafuta kweli?
Nilitaka kununua ila niliingiwa na wasiwasi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.