buguruni

Buguruni is an administrative ward in the Ilala district of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 67,028.

View More On Wikipedia.org
  1. Kamanda Asiyechoka

    Kwa akili ya kawaida, watu wa maeneo ya Tandale, Temeke, Buza, Buguruni na Uswazi yooote wataweza kwenda Coco Beach kununua bidhaa?

    Huku ni kukosa mipango ya kiuchumi na mipango miji
  2. kimsboy

    Foleni ya Buguruni ni janga la kimkoa, serikali mko wapi?

    Hili suala la Buguruni foleni naona serikali imeamua kufumbia macho kabisa. Hapa nazungumza nimekaa kwenye gari karibia masaa mawili kiasi cha kutamani kushuka niiache gari yangu nichukue bodaboda lakini sina chaguo. Haya mateso hadi lini? Gharama za mafuta kipengele, traffic wanavyotukata...
  3. nakwede97

    Biashara ya matunda Buguruni ama Mabibo

    Wapendwa habari zenu nina mtaji wangu kidogo nataka fanya biashara ya kuchukua parachichi na ndizi Moshi nije niuze kati ya hayo masoko hapa sina uzoefu wa hayo masoko ningependa nipate kasehemu kakuweka mzigo na kuuza reja na jumla Msaada mwenye kufahamu
  4. T

    Dawa ya kuku mpya tatu kwa moja inapatikana wapi kwa Mbagala, Kariakoo na Buguruni

    Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa dawa zingine mbili na kufanya kuwa mchanganyiko wa dawa tatu kwa pamoja sasa swali langu kwa kisiwa...
  5. Francis12

    Mahakama ya Mwanzo ya Buguruni imevunja ndoa ya waliotengana kwa makubaliano ya kila mmoja aende kutafuta watoto

    Mahakama ya Mwanzo Buguruni imevunja ndoa ya Wanandoa Raymond Kulaya (44) na Magreth Silaeli (37) waliotengana kwa miaka 10 baada ya kukubaliana kila Mtu akatafute Watoto ‘anapopajua’ baada ya kuishi miaka mitano bila kupata Mtoto, kwa sasa Magreth amepata Watoto wanne na Mwanaume mwingine...
  6. J

    KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

    Wafanyabiashara wa nyama za mafungu huko Vingunguti wamelalamikia kitendo cha Bodi ya nyama kukamata nyama zao na kuzipeleka kituo cha polisi Buguruni ambako badala ya kuiteketeza waligawana na kubakiza makongoro. Akiongea katika eneo la tukio Meya wa Jiji la Dar es Salaam mh. Kumbilamoto...
  7. Magari ya Biashara

    House4Sale Tunauza Nyumba aina mbalimbali kwa bei nafuu

    Nyumba ipo Mbezi beach upande wa chini Ina vyumba vitatu kimoja master Jiko, sebule, dinning na public toilet Ina eneo lenye ukubwa wa sqm 1000 Hati miliki mkononi Wahi sasa BEI ni milioni 200 Tu Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283 Mawasiliano 0677 818283...
  8. Sam Gidori

    Ajali ya lori na treni ya abiria Buguruni

    Ajali ya Treni imetokea Vingunguti ikihusisha lori lililokuwa limebeba sukari lenye namba za usajili T 278 DQS na treni ya abiria. - Treni haikuwa na abiria. Chanzo: Azam TV
  9. YEHODAYA

    Kigoma yaipiku Dar na madaraja yake ya waenda kwa miguu ya Manzese na Buguruni, yajenga kivuko chini ya Barabara

    Kwenye ubunifu wa kujenga barabara ya kuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda mwingine Kigoma imeipiku Dar es salaam mbali mno Mainjinia wa barabara Dar es salaam nendeni Kigoma mkajifunze huko ona Kivuko cha waenda kwa miguu kigoma kilivyokaa vizuri mtu unahamasika kuvuka lile la...
  10. Rockefeller

    House4Sale Numba inauzwa Buguruni

    Habari za mida, Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba pia kuna eneo la kuweza kutoa vyumba vitatu single. Nyumba ipo Buguruni mtaa wa Azimio karibu...
  11. GENTAMYCINE

    Kwanini Makao Makuu ya Makahaba ' Kimboka ' Buguruni huwa inajaa pale tu Vyuo Vikuu vya Dar es Salaam vikiwa vinafunguliwa?

    Miezi ya June hadi September huwa hakuna Vimwana / Totooz kabisa ila miezi ya October hadi December na March hadi May huwa wanakuwepo wengi na hadi wengine wanaweza hata ' Kukukopa ' Mkuyenge na ukawapelekea Pesa yao Siku zikikutembelea kidogo au ukizipata. Halafu ni kwanini hata ' reasoning...
Back
Top Bottom