bunda mjini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania DOKEZO Jeshi la polisi Bunda itazameni ITKata ya Bunda Mjini kwa jicho la tatu

    Nimekuwa nikiandika makala nyingi sana kuhusu kuwepo kwa ongezeko la vijana katika magenge ya kihalifu wilaya ya bunda hasa kata ya bunda mjini. Kwa kifupi kata ya bunda mjini inaundwa na mitaa ya nyerere,posta na sabasaba.Mitaa hii ipo katikati ya mjin wa bunda. Hawa vijana wamejikita zaidi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Bulaya: Nataka nisimamie Ujenzi barabara 25KM, Stendi na Soko la kisasa yenye hadhi ya Mji wa Bunda

    Mgombea Ubunge katika jimbo la Bunda Mjini Mkoani Mara Esther Bulaya amezindua kampeni za ubunge katika jimbo hilo huku akitaja vipaumbele mbalimbali atakavyohakikisha anasimamia baada ya kuchaguliwa kuwa Mbunge
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…