bundi

  1. L

    Sifa nzuri za Ndege Bundi

    Kwanini Ndege Bundi anatafisiriwa kiuchawi? Nahis bundi ana faida nyingi sana...na ndio maana baadhi ya mashirika yanatumia kama nembo yao..... Baadhi ya Sifa za bundi.. Bundi ana uwezo mkubwa wa kunusa Mnyama anayekaribia kufa, ana uwezo wa kuona karibu mara nane ya uwezo wa Binadamu...
  2. M

    DOKEZO Bundi anyemelea TIRA

    RIPOTA PANORAMA MWENENDO wa mambo katika Sekta ya Bima si shwari baada ya kubainika kuwa Kamishna wa Usimamizi wa Bima (TIRA), Abdallah Baghayo Saqware ameshiriki kuanzisha Chuo Kikuu cha Bima na Mifuko ya Jamii barani Afrika, ambacho kwa jina la kimombo kinaitwa Africa College of Insurance and...
  3. Suzy Elias

    Bundi atua kibabe kwenye dirisha la Madrasa huko Zanzibar. Aondoka na karatasi ya majina.

    Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya.... Huko Zanzibar ndege bundi aliyekuwa amevalia nguo zake zote za medani za kivita alitua kibabe kwenye dirisha la madrasa na kuwafanya wenyeji kustaajabishwa mno na ustadi alioutumia ndege yule kufanya matukio aliyoyafanya. "...anabonge la hirizi...
  4. C

    Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

    Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu. Naomba jibu.
  5. Erythrocyte

    Alexander Mnyeti amepata wapi utajiri wa kuinunua TCC CLUB ya Chang'ombe?

    Huyu mtu kwa sasa ni miongoni mwa matajiri wa kutupwa wa kitanzania lakini haijulikani mahali hasa anakopata pesa, anamiliki timu ya soka ya Gwambina na anaihudumia. Taarifa zetu za uchunguzi zinaonyesha kwamba Mnyeti ameinunua TCC Club ya Chang'ombe Dar es Salaam kwa lengo la kuiendeleza na...
  6. Analogia Malenga

    Bundi ni muhimu sana kwa wakulima

    BUNDI ni ndege mwenye sura inayotisha kidogo kulinganisha na ndege wengine hasa kutokana na kuwa na uso mkubwa wa mviringo, macho makubwa ya mviringo na masikio makubwa. Unaweza kusema ndege huyu ambaye hupenda kula nyama na wadudu ana kichwa mithili ya paka. Bundi hufanya mawindo yao nyakati...
  7. Sky Eclat

    Ufugaji wa ndege aina ya bundi una faida sana

    Bundi ni ndege kama ndege wengine, wengi hawajafahamu faida zinazopatikana katika ufugaji wa ndege hawa. Soko la bundi ni kubwa kuanzia kwenye mayai, ndege wenyewe. Soko kubwa la ndege hawa liko Afrika.
  8. TheDreamer Thebeliever

    Jinsi nilivyougua miaka mingi na kunusurika kifo baada ya kurogewa uchawi wa bundi

    Habari wadau poleni sana na msiba wa jemedari Hayati Magufuli. Leo nimeamua kuwaletea simulizi ya kweli inayoitwa "jinsi teseka miaka mingi na kunusurika kufa baada ya kurogezewa uchawi wa bundi". Kwanza niwaombe samahani kwa mwandiko mbaya maana simulizi hii ninapoanza kuiandika inaweza...
  9. Sky Eclat

    Kipanya anatuonya, safari ya pili inaanza na bundi

    Mshana Jr tunaomba utaalamu wako hapa.
  10. Analogia Malenga

    Je, unajua kuwa neno 'Parliament' licha ya kumaanisha bunge pia humaanisha kundi la bundi?

    ‘Parliament’ ni neno la kiingereza linalomaanisha bunge, Lakini pia, kundi la bundi kwa kiingereza huitwa ‘parliament of owls’ ‘School’ ni neno linalomaanisha shule, lakini pia kundi la samaki huitwa ‘school of fish’ 'an army' hutafsiriwa kama jeshi lakini pia kundi la chura huitwa 'an army of...
  11. Elius W Ndabila

    Mbeya Mjini mumeamua kufuga Bundi na kuachana na Kuku, siasa itaua utamaduni wetu

    Na Elius Ndabila 0768239284 Ninawasalimia wafuatiliaji wote wa makala zangu za kila wiki. Ninawashukuru wote ambao baada ya kusoma mumekuwa na muda wa kunipigia kwa kunishauri, kunipongeza na kunikosoa. Nikiri kuwa ninyi mumekuwa chachu kubwa kwangu ya kuendelea kuwajuza mambo mengi ya...
  12. n00b

    Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

    Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo ====== BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI) Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
Back
Top Bottom