Kwa ajili ya shughuli zangu mbalimbali nimekuwa naweka 10,000/= na kupata kifurushi cha dakika 1,200 kwa mitandao yote na kwa mwezi mzima.
Leo nashangaa nilipokuwa nimejiandaa kujiunga kwa 10,000 kupata hizo dakika 1,200 nilizozoea nashangaa menu imekuja na chaguzi kadhaa mojawapo ikiwa ni ya...
Vigezo vya kupewa huduma
1. Nida ID au namba ya nida
2. Tin certificate au Tin namba
3. Email
4. Pesa ya security deposit (Pesa ya dhamana) mfano unataka kifurushi cha ef40 unalipa ef40 kama dhamana
MUHIMU
Dhamana hii haumpi mtu unailipia kwenda TIGO nakuelekeza jinsi ya kulipa alafu...
Jamani, simu yangu inatumia sana bandle la internet. Je, nifanye njia ipi kupata bundle kwa bei nafuu kwani nataka kuanza kusoma kwa kutumia online mecahnisns.
Hivi wale wa internate cafe mbona saa nzima wanacharge book tu. Je, wao wanafanyaje kupata bandle kubwa Kwa bei nafuu na hadi wanapata...
Tuseme una duka lako mahali pengine mjini na una kijana mzuri tu mwaminifu anakuuzia ila cheki utitiri wa gharama za uendeshaji.
1. Assume mnakaa mbali na duka na kijana anatakiwa alipe Hela ya usafiri mfano 1000 ya bajaji au boda kwenda na kurudi Kwa siku ni 2000 Kwa mwezi ni 60000/=
2...
Baada ya kuona 5G imejitokeza siku ya leo, nikaamua kufanya speed test kuona uhalali wake.
Bundle iliosha kabla speed test kumalizika. Top speed ilifika kwenye 528Mbps Download. Upload sikutest bando ilikata
Pongezi kwa Airtel, sasa mtangaze tu na bando za 5G maana hizi Mb chache...
Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha.
Kwa MB 490 ukiangalia video...
Katika hari ya kawaida, Ni ujinga sana kutetea ghalama za bundle kwamba zimeshuka.
Na naamini Nape anajua kabisa either Rais hanunui bundle na hivyo hajui ghalama zake ama anaamuni Rais hawezi mfanya chochote.
Watanzania wote wanalia na hizo ghalama lakini yeye anatetea zimeshuka. Nape ni...
Mbunge Salome Makamba ametaka serikali kuwalinda wateja wa simu za mkononi ambao wanabanwa na mikataba isiyo ya usawa, kuwalazimisha kutumia salio za vifurishi huku walaji hao wakiwa hawana mtetezi wa kuuliza makampuni ya simu dhima na sababu ya kulazimisha walaji kutumia vifurushi...
Huyu mbunge angepata hii nafasi , angefanya makubwa.
Biashara mtandaoni zinazidi kufa , kwa sababu ya Bei ya bundle.
Vijana waliokuwa wakiingiza 24 Mil / month kwa kupitia online, hakuna hata mmoja
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.