Daahhh sisi tunaotegemea kujifunza, kufanya marketing na sales kwa njia ya mtandao gharama zimepanda tena. Leo naamka nakuta kifurushi cha Wiki cha ZANTEL ambacho ilikuwa unapewa GB 2.2 kwa Tsh 3,000 (Hapo kilipunguzwa pia kutoka GB 2.5) kwa sasa unapewa GB 1.9 tu. Sasa na haya mambo ya YouTube...
Igweee!!!
Wadau sasa leo tumeamka mabalaa, sio HALOTEL sio TTCL.
Wakati Halotel wametoa yale mabando ya kimaskini, nao TTCL wameona isiwe tabu lile bando pendwa TAM TAM wameamua kupiga rungu kabisa toka 1.5gb mpaka Mb600.
nikajaribu weka ka-simcard kangu ka zantel nilikokatelekeza muda mrefu...
Kwa wale wataalamu wa masuala ya computer networking. Swala langu liko hivi, natumia wireless router inayotumia line ya simu kuunganisha na simu yangu kwa ajili ya kupata mtandao lakini kitu kinachonisikitisha bundle linaisha haraka kuliko nikitumia njia ya kawaida ya kuweka line kwenye simu...
Wajamvi,
Jana wakati nashusha movies kadhaa kwa simu, nilikua na bando la internet kwenye simu ambalo nilijiunga kwa ajili ya saa 5usiku-12asbh.
Mara kadhaa nilikua nafuatilia kasi ya internet ambapo ilikua ikicheza kati ya 300-500kbs/sec.
Kwenye mida ya saa 8usk hivi nakuja kucheki speed...
Nipo na computer yangu inatumia window 10. Tatizo kuu ni hili swala la bundle consumption. Inanyonya sana kiasi kwamba ndani ya dakika 3 nikiiacha moderm On nakuta nimetumia mbs zaidi ya 30..Kwa makadirio ya haraka ni zaidi ya mbs 10 kwa dakika.
Nimejaribu kucheki kwenye setting pamoja na...
Kwenu TCRA na waziri wa mawasiliano na uchukuzi, mbona mambo hayako kama ambavyo mlitaka tuamini kuwa yatakuwa?
1. Gharama ya bundle bado zinatofautiana kutoka mtandao mmoja na mwingine japo mlisema mnaweka uniformity (Sera ya Ujamaa na Kujitegemea)
2. Hakuna kushea bando kama ambavyo...
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Uamuzi huo unaweza kuwa habari njema kwa watumiaji wa mitandao ya simu ambao, tangu kutangazwa kwa bei hizo mpya mapema leo Ijumaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.