Wakuu, wajuzi wa mambo, ikitokea bunge limeahirishwa kama ilivyotokea leo Machi 31, 2026 na posho za kikao ambazo huwa wanalipwa wabunge nazo zinaahirishwa, au wanalipwa kwa kupigwa asilimia ya muda waliokaa ndani ya bunge kutoka kwenye malipo ya siku nzima, maana wamekaa dakika 15 tu kisha...
BUNGE LA KENYA LALAZIMIKA KUAHIRISHA KIKAO CHAKE KUTOKANA NA UPUNGUFU WA WABUNGE HUKU MAANDAMANO YA GEN-Z YAKIENDELEA
Bunge la Kitaifa la Kenya lililazimika kuahirisha kikao chake mapema leo kutokana na kukosekana kwa akidi, huku Wabunge wengi wakiripotiwa kutohudhuria kufuatia maandamano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.