bunge kuahirishwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bunge likiahirishwa kama ilivyotokea leo, ambapo lilidumu kwa dakika 15 tu, na posho zinaahirishwa au zinalipwa?

    Wakuu, wajuzi wa mambo, ikitokea bunge limeahirishwa kama ilivyotokea leo Machi 31, 2026 na posho za kikao ambazo huwa wanalipwa wabunge nazo zinaahirishwa, au wanalipwa kwa kupigwa asilimia ya muda waliokaa ndani ya bunge kutoka kwenye malipo ya siku nzima, maana wamekaa dakika 15 tu kisha...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bunge la Kenya kuahirisha kikao kisa upungufu wa wabunge

    BUNGE LA KENYA LALAZIMIKA KUAHIRISHA KIKAO CHAKE KUTOKANA NA UPUNGUFU WA WABUNGE HUKU MAANDAMANO YA GEN-Z YAKIENDELEA Bunge la Kitaifa la Kenya lililazimika kuahirisha kikao chake mapema leo kutokana na kukosekana kwa akidi, huku Wabunge wengi wakiripotiwa kutohudhuria kufuatia maandamano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…