bunge la 12

Bunge & Born was a multinational corporation based in Buenos Aires, Argentina, whose diverse interests included food processing and international trade in grains and oilseeds. It is now known as Bunge Limited.

View More On Wikipedia.org
  1. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 14 Februari 14, 2025

    Wakuu Baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu leo Februari 14, 2023, wabunge watajadili maelezo ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba kuhusu nyongeza ya bajeti na Muhtasari wa Tamko la Sera ya Fedha kwa mwaka 2024/2025. Pia, kutakuwa na maswali 16 kwa wizara mbalimbali, mjadala wa hoja ya...
  2. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13 Februari 13, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13 Februari 13, 2025 https://www.youtube.com/live/cyc6U2sR8Lo?si=DI-aIFTZ23kTvpdk
  3. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 12 Februari 12, 2025

    Leo katika kikao cha 12 cha mkutano wa 18, Bunge linajadili Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Usimamizi wa Mazingira wa 2024, ambapo Waziri wa Nchi (Muungano na Mazingira) atatoa maelezo. Pia, Mwenyekiti wa Kamati ya PAC atawasilisha taarifa ya shughuli za kamati hiyo kwa mwaka 2024 kwa...
  4. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 11 Februari 11, 2025

    Wakuu Katika mkutano wa 18 wa Bunge unaoendelea Jijini Dodoma, leo katika kikao cha 11, wabunge watasikia na kujadili taarifa za kamati mbili za kudumu za Bunge kwa kipindi cha kuanzia Februari mwaka jana, 2024 hadi Januari mwaka huu baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu. Kamati hizo ni ile...
  5. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 10 February 10, 2025

    Wakuu Baada ya mapumziko ya mwisho wa wiki, leo mkutano wa 18 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake cha 10 linaendelea ambapo baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu itakuwa ni zamu ya kamati nyingine mbili za kudumu za Bunge kuwasilisha taarifa zao kwa kipindi cha...
  6. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 8 Februari 7, 2025

    Katika kikao chake cha Nane (8), mkutano wa 18, leo Februari 7, 2025 wabunge watapokea, kusikiliza, kujadili na hatimaye kupitisha au kukataa taarifa za kamati mbili za kudumu za Bunge baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu. Kamati hizo ni ile ya Ardhi, Maliasili na Utalii pamoja na ya Maji na...
  7. Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 18 kikao cha 8 Januari 6, 2025. https://www.youtube.com/live/v7nIhzdKxfM?si=_aHP4U9aOM7XzizK Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema ni muhimu kwa Tanzania kuzingatia Sera za nje na kuimarisha mahusiano mazuri na mataifa mengine huku ikijikita zaidi katika kujitegemea...
  8. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 7 Februari 5, 2025

    Wakuu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika kikao chake cha saba, mkutano wa 18, leo Februari 5, 2025, litapokea taarifa, maoni na maazimio kutoka kwa Kamati ya Utawala, Katiba na Sheria pamoja na Kamati ya Sheria Ndogo. Hatua hiyo itakuja baada ya kumalizika kwa Kipindi cha Maswali...
  9. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 6 Februari 4, 2025

    Wakuu Wabunge leo katika kikao chao cha sita katika mkutano wa 18, baada ya Kipindi cha Maswali na Majibu, watapokea na kujadili Taarifa za Kamati ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii pamoja na Kamati ya Afya na Masuala ya UKIMWI. Kamati hizo zinatarajiwa kuja na maazimio pamoja na maoni mbalimbali...
  10. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha Tano, Februari 3, 2025 asubuhi

    Wakuu Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Februari 3, 2025 linaendelea na mkutano wake wa 18 ambapo, pamoja na Kipindi cha Maswali na Majibu, linatazamiwa kujadili hoja za kamati. https://www.youtube.com/live/4i2z6c3WnZk Innocent Bashungwa - Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  11. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 4 January 31, 2025

    Fuatilia Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 4 January 31, 2025 https://www.youtube.com/live/WS3Y4IN-B38?si=uJfr1uzwu_N9XPnM Bunge limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Kazi namba 13 wa Mwaka 2024, ambapo sasa likizo ya uzazi kwa mwajiriwa ambaye atajifungua mtoto njiti, imejumuisha...
  12. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 3 Januari 30, 2025

    Fuatilia Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 3 Januari 30, 2025 https://www.youtube.com/live/l64PMMDmFb8?si=-abEAlHFt1w5glLx
  13. Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 2 Januari 29, 2025

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Januari 29, 2025 linaendelea na mkutano wake wa 18 ambapo, pamoja na Kipindi cha Maswali na Majibu, linatazamiwa kujadili miswada miwili ya sheria. Muswada wa kwanza ni wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 3) wa Mwaka 2024 na kisha...
  14. Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha Tisa, Novemba 8, 2024 Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=52E6JA0VI7c
  15. Kinachoendelea katika Mkutano wa 17 wa Bunge la 12, Kikao cha 8 Novemba 7, 2024 Asubuhi

    Bunge linaendelea hivi sasa kwa kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanapata fursa ya kuuliza maswali kwa mawaziri, huku mawaziri wakitoa ufafanuzi na majibu kwa maswali hayo. Endelea kuwa nasi kufuatilia yanayoendelea kutoka Dodoma, kwenye kikao ambacho kinahusu pia Kamati ya Mipango...
  16. Bunge la 12 | Mkutano wa 17 Kikao cha 7, leo Novemba 6, 2024 Asubuhi

    Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na Mawaziri wanatoa majibu. Tufuatilie yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya mji wa Dodoma! https://www.youtube.com/watch?v=4wO3TRtbUYI
  17. Bunge la 12 | Mkutano wa 17 Kikao cha Sita, leo Novemba 5, 2024

    Kusuhu hali ya Ugonjwa wa Figo nchini Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel, amezungumzia ongezeko la magonjwa ya figo nchini, akitaja vichocheo vikuu vinavyosababisha hali hii kuwa mbaya. Akizungumza Bungeni leo Dkt. Mollel amesema kuwa sababu za msingi zinazochangia kuumwa kwa magonjwa ya...
  18. Bunge la 12 Mkutano wa 17 Kikao cha Tano Novemba 4, 2024

    https://www.youtube.com/watch?v=IKQDv45V3VY Bunge linapokea na kushauri kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo unaokusudiwa kutekelezwa na serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26. Majadiliano yanaendelea… Shamsi Vuai Nahodha: Nitaongea hoja nne kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo wa...
  19. Mbunge Mageni: Watu wengi wanaamini hakuna ajira Serikalini bila kuwa na ‘connection'

    https://www.youtube.com/watch?v=ECVGyl8jL60 Akizungumza wakati wa mjadala Bungeni kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iliyowasilishwa Bungeni Mwaka wa Fedha 2022/23, leo Oktoba 31, 2024, Mbunge wa Sumve, Kasalali Mageni amesema imekuwa kawaida kuona Ripoti hiyo...
  20. Bunge la Kumi na Mbili Mkutano wa 17 Kikao cha Tatu, Oktoba 31, 2024

    Kwa sasa, Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali kwa Waziri Mkuu pamoja na Mawaziri wanatoa majibu, tuwe pamoja kufatilia yanayojiri kutoka viunga vya mji wa Dodoma. https://www.youtube.com/live/ECVGyl8jL60
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…