The National Assembly of Tanzania (Swahili: Bunge la Tanzania) and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania. The current Speaker of the National Assembly is Job Ndugai, who presides over a unicameral assembly of 393 members.
Ninaishauri serikali ya Tanzania kupitia Bunge, kutunga na kuingiza Sheria ya mitaala mipya ya elimu kwenye katiba ya nchi.
Huu ni hatua muhimu katika kuhakikisha mfumo wa elimu unakuwa thabiti na endelevu, bila kuathiriwa na mabadiliko ya kisiasa au kubadilishwa kwa viongozi wa elimu.
Kila...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Tulia Ackson ameeleza jinsi ambavyo amekuwa akitamani kumuona Mkurugenzi Mtendaji wa ManaraTv Hajji Manara akiwa ni miongoni mwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
"Unajua kule bungeni...
Yanapojadiliwa mambo ya Tanganyika yasiyo ya Muungano, ni kwanini wabunge toka Zanzibar wasiwe wanatoka nje ya bunge na kuwaachia wabunge wa Tanganyika kujadili mambo yanayowahusu watanganyika?
Ni sawa wabunge toka nchi nyingine kujadili mambo yasiyowahusu ya nchi nyingine?
MHE. WANU H. AMEIR AMEWASILISHA TAARIFA YA OACP/EU KWENYE KAMATI YA BUNGE
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakiongozwa na Mwenyekiti, Mhe. Vita Kawawa wamepokea na kujadili Taarifa ya Wawakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mabunge ya Afrika, Carribeani...
Ni wabunge gani waliopo bungeni wamehudumu kwa muda mrefu zaidi?
Nani anashikilia rekodi ya kuhudumu kwa muda mrefu zaidi? Muda wa wastani wa mbunge kuhudumu ni miaka mingapi?
Kwa mujibu wa katiba,kazi za bunge ni kutunga sheria na kuisimamia serikali.
Katika kazi hizo mbili,kazi ya kutunga sheria inafanywa na wanasheria wa serikali kusha kupitishwa na Bunge.
Sheria iwe mbaya ama nzuri hakunaga sheria ambayo hupigiwa kura ya hapana. Kama ndivyo basi, kwa nini...
Bunge la Tanzania Leo limeanza kikao vyake jijini Dodoma ambapo bunge ili litajadili taarifa za kamati tatu muhimu, ambazo zimewasilishwa na kamati hizo za kudumu kamati hizi zimewasilisha taarifa muhimu baada ya kupitia taarifa ya Cag ambapo makati hizo tatu za kudumu ambazo ni Kamati ya Kudumu...
Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson, ameibana serikali kuhusiana na suala la ajira kwa vijana wanaojitolea katika taasisi mbalimbali za umma. Akizungumza bungeni, leo Oktoba 29, 2024 Dkt. Tulia alisisitiza kuwa vijana hawa wanatoa mchango mkubwa kwa nchi, hivyo ni muhimu kwa serikali kuzingatia...
Mkutano wa Kumi na Saba wa Bunge utaanza kesho Jumanne tarehe 29 Oktoba 2024 na kumalizika tarehe 8 Novemba 2024 Jijini Dodoma.
Shughuli ambazo zinatarajiwa kufanyika wakati wa Mkutano huu ni pamoja na:
1.0 Kupokea na kujadili taarifa za Kamati za PAC, LAAC NA PIC
Katika Mkutano huu, Bunge...
Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya.
Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao.
Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
bungebungelatanzania
ccm
hata
hii
kanda
kanda ya ziwa
kenya
miaka
miaka 100
mkubwa
mkuu
mkuu wa wilaya
mtaji
sana
siasa
siasa za kenya
tanzania
tatizo
umasikini
wilaya
ziwa
Sijajua Kwanini kona zote za hii Bar Watu wote tunafuatilia impeachment ya Gachagua mubashara Citizen TV
Natamani akina Babu Tale na Kibajaj wafikie Viwango vya akina Omutata na Sakaya
Ila sijui itakuwa lini maana Zitto Kabwe na Halima Mdee Viwango vilipandaga na kushuka ghafla
Mlale Unono 😀
Mimi si kati ya watu wanaomkubali Mh. Tulia kutokana na ubabe na ambavyo huendesha bunge. Nahisi ni kutokana na siasa za nchi ambapo mtawala huwa Mungu mtu na sheria ni maamuzi ya mtawala.
Kutokana na kutokumkubali hata majibu yake ya IPU sikutaka hata kusikiliza wala kutazama nilikuwa nasoma...
Kuna Watanzania wengi sana wanafuatilia kwa makini bunge la Kenya huku wakipuuza kufuatilia hata kidogo mambo yanayoendelea kwenye bunge lao, huko sio kukosa uzalendo?
Pia Wakenya wenyewe hawafuatilii kabisa bunge letu, sijawahi kuona Mkenya ameposti mtandaoni kuhusu jambo lolote linaloendelea...
Akiongea na na Watangazaji wa kipindi cha asubuhi Good Morning cha Wasafi radio Septemba 27, 2024 Spika wa Bunge la Tanzania Dkt. Tulia Akson Mwansasu ameshangaa Jeshi la Polisi kuhusishwa na utekaji na mauaji ya raia wema
Hivi karibuni vijana watatu wa chama cha demokrasia na maendeleo...
Mwanachama wa CHADEMA, James Mbowe, amekosoa vikali Bunge chini ya Spika Tulia Ackson, akisema kuwa ni dhaifu na halina ubinadamu. Kauli hii imekuja baada ya Bunge kutupilia mbali ombi la kujadili suala la utekaji na mauaji, ambapo Aida Joseph Khenani alitoa hoja ya kuitaka Bunge lijadili suala...
DODOMA - BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania wa Mwaka 2024 ambao umeondoa sharti la kila mhitimu wa shahada ya sheria kupita katika shule hiyo.
Sharti hilo lilimtaka kila mhitimu wa shahada ya sheria nchini kulazimika kupitia na kufaulu masomo ya...
Wakuu kwema!
Yaliomkuta Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina hatimaye yamemkuta Dk. Angelina Mabula ametakiwa apeleke ushahidi Bungeni kuhusu Kituo cha Afya Sangabuye wodi moja wanaume, wanawake na watoto.
Hii inaleta maana gani kwa Wabunge hawa waliokutana na hili jambo kutoka kwa Spika, na jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.