The National Assembly of Tanzania (Swahili: Bunge la Tanzania) and the President of the United Republic make up the Parliament of Tanzania. The current Speaker of the National Assembly is Job Ndugai, who presides over a unicameral assembly of 393 members.
Kuna mahali naona hapako sawa, ili uwe mbunge Tanzania ni kujua kusoma na kuandika, kwa maana kwamba hata darasa la nne anaweza kuwa mbunge, na pengine hata kingereza akawa hajui, inakuwaje anamsikiliza mtahiniwa/msailiwa kwa lugha ya kingereza wakati yeye haijui?halafu baada ya hapo anapiga...
Nimefuatilia mjadala mkubwa wa Waziri wa Nishati kutumia lugha za kashfa kwa Mamlaka iliyokuwa inahoji kuhusu kuchelewa kwa Bwawa la Julius Nyerere pamoja na tatizo la kukatika kwa umeme.
Sote tunatambua hoja hizo ziliibuliwa bungeni na Kamati za Bunge za Nishati na Madini pamoja na Kamati ya...
POST
AFISA UGAVI DARAJA LA II - 2 POST
EMPLOYER
Parliament of Tanzania
APPLICATION TIMELINE:
2022-06-11 2022-06-24
JOB SUMMARY
NIL
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i. Kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika (Schedule of Requirements);
ii. Kuandaa utaratibu wa upokeaji wa vifaa...
Mungu tunajuwa Wewe ni Mungu mwaminifu sana. Naniukweli usio pingika ktk malango yako ya siri haikuwa Rahisi kwa Dr Tulia kupita nakuwa. Spika wa Bunge la jamuhuri ya muungano wa Tz.
Mlinde na ufunike ktk kipindi hiki waovu wameongezeka ktk uso wa dunia. Unajuwa yakuwa anamitego na majukumu...
Orodha yao ya kimkakati hii hapa
====
KATIBU wa Bunge na msimamizi wa uchaguzi wa Spika Nenelwa Mwihambi (NDC) ametangaza kukamilika zoezi la uteuzi na utaratibu wa uchaguzi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Januari
Akiongea na Waandishi wa habari leo Bungeni...
Kwa maoni yangu kwa kauli ya jana ya Naibu Speaker Dr Tulia Ackson, ni kweli kama atachaguliwa kuwa speaker wa bunge bunge litakufa na kubaki kuwa kitengo cha ikulu.
Kwanza, anadai Rais ana nguvu Sana. Ina maana hajui kuwa bunge lipo pale kwaajili ya kuangalia na kumchunga Rais asitumie nguvu...
Kwa akili ya kawaida
Tujiulize Bunge letu linafanya kazi ya kuisimamimia Serikali au linashirikiana na Serikali?
Bunge ni chombo cha wananchi ambacho hutakiwa kuisimamia Serikali na kuishauri kwenye mambo kadha wa kadha, sasa tujiulize ni Sheria ngapi za kumuumiza mwananchi zimepitia kwenye...
Lipo tatizo tena kubwa mno kwenye Mhimili wetu wa Bunge la Tanzania.
Binafsi,hadi mchana wa leo sikuwa natambua kwamba vikao vya Bunge vimeanza huko Dodoma na imani yangu ni Watanzania wengi ambao pia hawaelewi kuhusu vikao hivyo kama vimeanza.
Sasa,kwa aina hiyo ya kupuuzwa lazima Bunge letu...
Naomba niseme haya ni maoni yangu binafsi, na ni mtizamo wangu binafsi, na ndivyo ilivyo.
Bunge la Tanzania lililojaa utitiri wa wabunge hadi wabunge feki, ni mzigo kwa nchi ni hasara kwa nchi wala halina faida yoyote
Utitiri wa wabunge wa majimbo, wabunge wa viti maalumu wabunge wa kuteuliwa...
Tunapojiita kua tuna bunge badala ya kufanya kazi ya kuishauri na kuisimamia serikali badala yake linafanya kazi ya kuitetea serikali ni hasara kwa taifa kupoteza mabilioni ya shilingi kuwalipa mishahara.
Mmekaa mnapitisha tozo ambazo ni maumivu kwa Watanzania tena kwa kishindo mnagonga meza...
Huku Bunge la Tanzania likitishiwa na Ndugai kwamba wasipo pitisha Bajeti Rais atavunja Bunge, Kwa upande wa Majirani zetu kwao ni tofauti kabisa.
Tanzania Bunge lilihitimisha Mjadala wa bajeti kwa kupitisha kwa kishindo bila hata mabadiliko.
Pamoja na utata wa kodi kama ya majengo kulipwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.