Katiba, sheria na kanuni zinapaswa kuitikiana. Na hasa sheria na kanuni kuakisi na kufanikisha nia njema ya kifungu cha katiba. Inakuaje kanuni kutungwa na waziri au watu wachache wanaoweza kujipendelea?
Na tena yapasa bunge ndilo limalizane na sheria na kanuni zake sio Serikali! Kwani bunge ni...
Leo palikuwa na Bunge la wananchi lililoendeshwa na Mwenyekiti wa CDM Freeman Aikaeli Mbowe Kigoma na kikao kingine kiliendeshwa na Waziri mkuu Kassim Majaliwa kukusanya kero za wananchi katika masuala ya kodi.
Hadi tunakwenda mitamboni, kikao Cha wananchi pale Bandari salama kilikuwa...
Tatizo ni Bunge kutunga sheria mbovu za kodi.
Lkn lenyewe limekaa kimya kama halihusiki. Na wadau nao wamekaa kimya hata hawajadili.
Pale Naibu Speaker alipaswa kupopolewa mno lkn aaahhh wapi
Kwa kuwa mchakato wa katiba mpya utaendelezwa panapo Majaliwa yake Mwenyezi Mungu mwaka ujao wa fedha 2023/2024 na tume maalumu itaundwa kufanikisha mchakato huo naona Prof. Kabudi atafaa sana kuwa Mwenyekiti wa bunge maalumu la Katiba.
Ni mwanasheria mzuri na mwenye uwezo mkubwa wa masuala ya...
Tunashuhudia nyomi kwenye mikutano yake lakini hiyo nyomi haihusiani kabisa na mvuto wake kisiasa. Watu wanakuja kumtazama mtu aliyekuwa "amekufa" kisha "kufufuka". Biashara inaishia hapo!
Salaam Ndugu zanu,
Bunge linaendela muda huu, mgomo wa kariakoo unaendela muda huu lakini Spika analetewa hoja hii mezani anajifanya kama hajui kinachoendelea.
Kwamba Spika anashindwa kutazama hata vyombo vya habari kujua nini kinaendelea? Eti anadai anataka ajiridhishe kama ni kweli au la...
MBUNGE REHEMA MIGILA AMSHIKIA SHILINGI AWESO MPAKA AJIBU HOJA ZA MAJI KWA KALIUA, ULAMBO NA IGUNGA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Mhe. Rehema Juma Migila akichangia hoja kwenye Bajeti ya Makadirio ya mapatao na matumizi ya mwaka wa fedha 2023/2024 ya Wizara ya Maji
"Halmashauri ya...
Watoto Milioni 1.5 wapatiwa chanjo
Wizara ya Afya imesema hadi kufikia mwezi Machi mwaka huu jumla ya watoto 1,596,951 sawa na asilimia 98.6 walikuwa wamechanjwa chanjo ya Penta3 kwa ajili ya kuzuia magonjwa ya Dondakoo, Kifaduro, Kupooza, homa ya ini na homa ya uti wa mgongo, ambayo hutumika...
WAZIRI MKUU AMEZUIA MAPATO KUKOPESHWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezuia mapato ya mwezi Aprili, Mei na Juni ya Halmashauri zote nchini kutokopeshwa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu, mpaka pale utakapoandaliwa utaratibu mzuri.
WAZIRI MKUU AZUNGUMZIA UVUMI WA BAADHI YA NCHI KUFUNGA...
WAITARA NAONYWA KWA UTOVU WA NIDHAMU, ATAKIWA KUJIREKEBISHA
Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara amepewa onyo baada ya kuonesha vitendo vya utovu wa nidhamu kwa kukiuka Kakuni ya Bunge 83: 1 (c).
Waitara alitoka nje ya Ukumbi wa Bunge akionesha kutoridhishwa na majibu ya Serikali kuhusu...
MBUNGE: UKAGUZI KWA WATUHUMIWA GEREZANI UNADHALILISHA WANAWAKE
Naibu Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amesema “Tunawasisitiza RPC, OCD na Wakuu wa Vituo kuzingatia Sheria kwa makosa yanayostahili dhamana, pia Serikali imetenga fedha katika Bajeti ijayo kwa ajili ya kununua vifaa vya...
Tunakubaliana wote yaani CCM na upinzani kwamba Bunge la sasa halina uhalali kutokana na uharibifu uliofanywa kwenye uchaguzi 2020.
Tunakubaliana wote kwamba dhamira ya Mhe. Rais aitengenezi vifungu vya sheria Bali inaweza Tu kufungua milango Kwa mabadiliko ya sheria.
NI wazi kabisa kwamba...
WILAYA YA USHETU HAINA JENGO LA KITUO CHA POLISI WALA NYUMBA ZA ASKARI
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga, Emmanuel Cherehani amesema Wilaya yake haina jengo lolote la Kituo cha Polisi wala hakuna nyumba za Askari ambapo wanatumia mfumo wa kupanga kwenye majengo ya watu na taasisi...
Mjumbe wa Ukraine alikua ameshikilia bendera ya kwao Ukraine, kisha wa Urusi akajifanya kichaa na kuja kumnyang'anya, aisei kapokea za uso, jameni watu wa Ukraine wana uchungu na nchi yao, na kuwafanyia utani wanaliamsha popote hata kama ugenini kwa watu...
Daah!
Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG?
Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali??
Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio yangu!
Daah!
Ikitokea mtumishi wa chini kabisa huko kahusishwa tu na udanyifu fulani, achana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.