Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amemtaka Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kufuta kile alichotanabaisha kuwa kauli ya uongo kuhusu DP World kuanza kukusanya kodi katika Bandari ya Dar es Salaam na kwamba kauli hiyo imelenga kulipotosha Bunge na Watanzania.
Baada ya Waziri Mwigulu kuomba...