Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, ametaka suala la kulipa kodi kwenye majengo kuangaliwa vizuri akisema, "Mkaliangalie vizuri huko mtaani. Tusidanganyane, kuna mkanganyiko!"
Ameshauri jambo hilo kuwekwa vizuri kwa Wananchi na kueleweka anayelipa Kodi hiyo ni nani kati ya...
Mbunge wa Viti Maalum (Ruvuma) Jacqueline Ngonyani Msongozi amesema Dawa zinazoenda Kituo cha Afya cha Msindo sio sawa na uhalisia wa eneo na wananchi bado wanahangaika
Amesema mgao wa Dawa ni mdogo na haukidhi mahitaji. Naibu Waziri TAMISEMI, Festo Dugange, amesema Kituo kimekuwa kikipata Dawa...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema licha ya kutekeleza majukumu, Wizara hiyo imekumbwa na changamoto mbalimbali
Akiwa Bungeni, ametaja baadhi kuwa ni ugumu wa kutoa viwango stahiki vya fidia kwa waaathirika wa ajali za mali za Serikali kutokana na kukosekana #Sheria/Mwongozo wa...
Mbunge wa Jimbo la Bunda, Boniface Mwita Getere amesema Mkandarasi alipewa Barabara tangu 2013 na amalize 2015 lakini hakumaliza. Alipewa tena 2015-2017, 2017-2019, 2019-2021 na bado hajamaliza
Ameeleza, "Miradi inayopita Butiama kuna shida gani? Katika mradi ambao unatia aibu katika Mkoa wa...
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Matiko yamekuwepo malalamiko kutoka wadau mbalimbali kuwa Sera, Sheria na Kanuni zilizopo zimepitwa na wakati
Akichangia majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi amesema "Ifanyike review (tathmini) ili twende na Ufugaji wa kisasa. Ranchi ya Taifa ambayo...
Spika wa Bunge la Tanzania amesema Kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO) ipo 'ICU' na kwa miaka mingi wadau wamekuwa wakinyamaza, lakini imefika mahali lazima ukweli usemwe.
Amesema "NARCO hawezi kufufuka, ile sio Ranchi. Mkitaka tuibadilishe iwe Hifadhi ya Wanyamapori. Hata Serikali iende inunue...
Mbunge Charles Mwijage amesema Watanzania na Wabunge walio wengi hawataki Uchumi wa kuwapeleka wachache juu na kuwaacha wengine
Ameeleza hayo Bungeni wakati wa majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi ambapo pia amesema sekta za uzalishaji ndizo zinaweza kupeleka Taifa katika Uchumi...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Ujenzi wa Viwanda ndio jibu sahihi la kupunguza changamoto ya Ajira Nchini kwa ngazi zote.
Amesema, "Changamoto ya Ajira ipo duniani kote ikiwemo hapa kwetu Tanzania. Kila Serikali inaweka utaratibu mzuri wa kukabiliana nayo"
Ameeleza...
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa
Vilevile akiwa Bungeni leo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya...
Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Jerry Silaa, ameitaka Serikali kuweka Utaratibu mzuri wa kufanya uthamini na kulipa Wananchi kwa wakati akisisitiza lazima Fedha ziwe zimeshatengwa wakati uthamini unafanyika
Wakati wa Majadiliano ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi, amesema "Mara nyingi uthamini unafanyika...
Mapema leo 24/05/2021, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai amezitaka kamati kufatilia mchakato wa ajira za walimu zilizotangazwa kwa uwazi na ukweli.
Pia ameonyesha kutoridhika na ajira zilizotolewa mwaka jana huku ikionyesha kanakwamba hakuna uwazi katika kuajiri...
Mbunge Luhaga Mpina amesema sababu mojawapo ya kuwepo changamoto katika Viwanda vya Tanzania ni mfumo mbaya wa Kodi ambayo haufanyiwi tathmini mara kwa mara
Ameeleza, "Wazalishaji wanapigwa Kodi lakini wanaoingiza wamesamehewa. Sasa nani atawekeza kwenye Viwanda katika Nchi yako? Tuna mfumo wa...
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amezitaka Kamati za Bunge hususani zile za Sekta kufanya kazi zinazohusika nazo akisema zisikae tu pasipo kufuatilia mambo.
Ametolea mfano suala la Ajira za Walimu ambapo amehoji, "Wangapi mnajua Wapiga Kura wenu wangapi wamepata? Mnaweza kuwa na uhakika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.