Bungeni is a large sprawling rural settlement situated on top of one of the foothills of the Soutpansberg mountain in Louis Trichardt, Limpopo Province, South Africa. The Levubu agricultural plantation, where avocado, bananas, litch, Macadamia nuts, peaches and mangoes are grown in abundance is just 3km away north of Bungeni village. It lies 35 km east of Makhado, with the R578 road (South Africa) passing through it. With more than 30 000 people, Bungeni is the largest Tsonga village in Makhado local municipality. In 1994 and in 2016, administrative control of this western portion of Gazankulu has been sub-divided in half and allocated to two Municipalities, first in 1994 to Makhado Local Municipality and in 2016, to the New Malamulele Municipality in the Vhembe district. As of April 2016, the Western portion, known as 'Bungeni West' by the locals, has remained in Makhado local municipality, while the eastern portion, known as 'Bungeni east', has been allocated to the new Malamulele Municipality.
Mhe. Mpina binafsi nakuvulia kofia kwa hoja zenye mashiko unazozitoa pale Bungeni. Jana wakati wa kupitisha Sheria ya manunuzi Mhe. Mpina alikuwa kinara wa kuishauri Serikali katika vipengele anavyoviona kuwa vinahitaji marekebisho.
Jana alimtoa jasho Waziri wa Fedha kila mara kutoa ufafanuzi...
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.
Sheria hii ikipita iko siku taifa...
Leo 30/08/2023 kuna Mbunge Mwanamke simfahamu jina lake, nilikuwa namuona kaketi nyuma wakati Nape anawasilisha kutokea kwenye "podium", amevaa "evening dress" ya kifua wazi bungeni.
Ni aibu kwa Bunge letu ikiwa wabunge hata "dress codes" hawaelewi, wawe wanakwenda wabobezi wa mitindo...
Wanasheria wetu wanaonisoma, naombembeni mlisaidie Taifa kufungua kesi mahakamani ili mikataba yote inayohusu rasilimali zetu ambazo utawala wa Rais Samia umesaini ipelekwe bungeni.
Tunajua kuwa ipo sheria inayohusu rasilimali na Soveregnty ya nchi, inayotaka mikataba yote inayohusu rasilimali...
Bunge limeitisha maoni ya wananchi kwenye muswada wa mabadiliko ya sheria za rasilimali asilia.
Lengo la kuitisha maoni kwa ajili ya muswada huo ni kutaka kuzibadili sheria zetu za nchi ziendane na matakwa ya Mkataba wa Bandari na Waarabu wanavyotaka. Hivi tunaelekea wapi?
MBUNGE EMMANUEL CHEREHANI - SIKU 645 BUNGENI, MIKUTANO 235 YA HADHARA
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga Dkt. Mhe. Emmanuel Cherehani mpaka sasa ametimiza SIKU 645 BUNGENI na kufanya Mikutano 235 ya HADHARA
Umeme Vijijini
"Tumepiga hatua kubwa katika kusimamia na kutekeleza miradi...
Siasa ya Kenya imeingia dosari kubwa sana, hali Kenya sio shwari kabisa.
Leo hii spika amefika ndani ya jengo la Bunge nakujikuta pekee yake hakuna mbunge aliyehudhuria.
Ni upuuzi Kibanda na wenzake kuwaambia wahariri wa vyombo vya habari kuwa mijadala hii miaka mitano iliyopita isingekuwepo.
Hivi hiyo Sheria ya mikataba ya Maliasili kujadiliwa si ni kwa mujibu wa Sheria na aliyefanikisha hayo Si JPM Kwa Sababu ya uzalendo wake kwa nchi ndio hiyo Sheria...
SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameanza ziara katika maeneo mbalimbali ya jimbo la Mbeya kuwaelimisha wananchi wa Mbeya juu ya faida ya mkataba wa Bandari uliopitishwa na Bunge Juni 10 2023 bungeni Dodoma.
Huu ni mkataba, akija mtu akasema kuwa haya ni makubaliano mkatalieni ni muongo. Muongo ni muongo tu. Bunge lilipitisha Mkataba. Bunge halina mamlaka ya kupokea na kujadili na kuridhia makubaliano. Kilichojadiliwa ndani ya bunge la Tanzania ni mkataba.
Vipngozi wa Serikali wanaona labda kwa...
Kwa wafuatiliaji wa siasa haswa Za Kanda ya Ziwa. Kuna huyu Jamaa. Kama mnavyokumbuka Alikua ni Kati ya Game makers wa Siasa haswa Za Mkoa wa Mwanza. Ni Kati ya wasomi mahiri tulionao lakini alijikuta akidondokea pua mwaka 2020 kutokana na Mambo ya Hayati.
Kwa mambo yalivyo pale Senger ma ipo...
Kumekuwa na upotoshaji wa kimakusudi unaofanywa na spika, baadhi ya wabunge, viongozi wa serikali na wapiga debe wengine wa sakata la Bandari kupewa DP world.
Wapiga debe hao wamekuwa wakisema kilichopitishwa bungeni ni makubaliano tu ya ushirikiano na sio mkataba, hivyo makubaliano hayo ni...
WAZIRI TABIA MWITA AKIWA BUNGENI JIJINI DODOMA
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo - Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akiwa Bungeni Jijini Dodoma Juni 27, 2023 kufuatilia shughuli za muhimili huo, kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana...
Mmetuaibisha mno Wanaume Wenzenu na kuna Mbunge wa Kiume Mmoja aliamua kabisa Kuvua Viatu vyake huku akivishika Mkononi na Kukimbia peku na akipiga Yowe kutoka nje.
Wabunge wa Kike wakiongozwa na Spika wa Bunge walikuwa Watulivu hata wakati Wanatoka Bungeni.
Nashukuru huyu Mbunge si wa Mara.
Akiwa bungeni leo Juni 26, 2023, waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba wakati akihitimisha hoja ya makadirio ya bajeti amemkalia kooni mbunge mwenzeke, Luhaga Mpina kwa madai alikuwa anafungia viwanda alipokuwa waziri huku akifurahia. Mwigulu amesema Mpina alikuwa anafanya sherehe kwa kuchoma nyavu...
Nashauri ipelekwe Hoja Binafsi Bungeni(kwa mujibu wa taratibu za Bunge) -Bunge libatilishe Azimio lile na kisha, Makubaliano yaangaliwe upya pale ambapo panapigiwa kelele na wananchi hasa kipengere cha 23(4), na pengine pia parekebishwe na wananchi waridhike kuwa Sasa makubaliano yapo sawa...
MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina kwanini hakuchangia Azimio la Bunge la Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai? Naomba mwenye kufahamu atusaidie.
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina akiomba dua baada ya kuzuru Kaburi la Rais wa Kwanza wa Zanzibar na mmoja wa...
Nimemsikia bungeni Mbunge Subira Mgalu akimshambulia ndani ya Bunge, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka kuwa anapotosha umma kuhusu suala la DP World wakati akichangia Bajeti Kuu ya Serikali.
Kwa mujibu wa Kanuni za Bunge, Subira Mgalu alikosea kumzunguzia Prof Tibaijuka au kuzungumzia suala la...
Nimemsikia Waziri Mkuu Majaliwa akizungumzia uwezekano wa kufanya mapitio(review) ya azimio lililopitishwa bungeni Intergovermental Agreement(IGA) inayohusu uwekezaji wa DP World hapa Tanganyika. Bunge la sasa hivi la chama kimoja-1) lililipitisha azimio hilo "kwa kishindo" kama ilivyo kawaida...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.