burna boy in london

  1. Aigle

    Burna Boy aonesha ukubwa wake Afrika na kidunia

    Burna Boy usiku wa jana ameonesha ukubwa wake kidunia baada ya kufanikiwa kuujaza uwanja wa London kwa mara ya pili mfululizo na kuweka historia. Uwanja huo maarufu duniani unaingiza mashabiki 80,000 na mauzo ya tiketi Burna Boy amepata zaidi ya dola milioni 8 ambazo ni zaidi ya billion 20...
Back
Top Bottom