BURUDANI Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize.
Hapo jana Msanii Pasha Mtepa akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV alisema watu wanamkosea heshima kumshindanisha na Harmonize kwa sababu yeye ndio wa kwanza kuuwakilisha mkoa wa Mtwara na amekaa muda mrefu kwenye...
Waungwana salam, kichwa cha habari kinajieleza,
Kwasasa nchini Tanzania ni kipindi gani bora cha burudani kati ya: 1. Empire cha EFM kinachoendeshwa na B dozen na Jonijo 2. The Switch cha Wasafi FM kinachoendeshwa na The Real Ommy, Ammy Gal na mshana au 3. XXL cha Clouds FM cha kina mchomvu...
Mungu akupe maisha marefu Mo Dewji, Bodi ya Simba, CEO Barbara, Mwamba Haji Manara.
Mungu awape maisha marefu na ufanisi technical bench.
Mungu awaongezee umaridadi wachezaji wooote first eleven, wanaokaa bench na wanaobaki majukwaani.
Mnafanya kazi nzuri kutuba burudani washabiki...
Habari za muda huu wadau?
Siku ya leo ya mapumziko (Muungano) nimeamua kupitia na kusikiliza baadhi ya nyimbo za nguli wa muziki Oliver N’Goma ( sasa marehemu) moja ya nyimbo zake nazozipenda ni hii “Bane” iliyoachiwa rasmi mwaka 1990 na inapatikana kwenye album yake ya kwanza yenye jina hilo...
Hakuna namna utafanya mikutano ya kampeni bila kuwachangamsha wahudhuriaji kwa burudani tofauti tofauti.
CCM hupendelea kwaya na Singeli
Chadema wao hupiga reggae kama ODM ya Kenya
ACT Wazalendo hupendelea mirindimo ya Pwani
NCCR mageuzi hupiga kwaya nk nk
Kinachotofautisha aina za burudani...
Siasa za Tanzania kusema kweli chama tawala kinatia aibu.
Kesho waziri mkuu atakuwa Karagwe kwenye kampeni za uchaguzi mkuu.
Sasa leo DC wa Karagwe ameamuru kujengwa jukwaa lingine baada ya jukwaa la asili ambalo alitumia Tundu Lissu kujinadi kudai kuwa limetiwa najisi. Yaani Tundu Lissu...
Na sio hayo tu, hata upigaji wa kura za maoni kweny vyama vya siasa unaendelea. Sasa kwanini watu kwenda kumpokea mgeni/kiongozi wao ndio iwe tatizo?
Ni wapi CHADEMA wamesema wataandamana?
Kukutana airport huku kila mtu akitokea nyumbani Kwake, ndio kuandamana au ndio kufanya mkusanyiko usio...
Nina likizo ya kama siku 21, sasa nina kajisenti hapa ka kula burudani kwa muda huu wa likizo kisha nirudi kuendelea kutumika kwa mwajiri.
Kwanza mimi situmii aina yoyote ya kilevi ila nina kilevi changu.
Sasa naomba kujua kati ya maeneo haya ya burudani wapi napata kilevi changu au vilevi...
Ofisi za Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wa Rais William Ruto zilitumia KSh1.18 bilioni kwa sherehe na maadhimisho mbali mbali, katika miezi tisa iliyopita hadi Machi 2020; hii ikiwa ni ongezeko la Sh422 milioni kutoka kipindi kama hicho kilichopita mwaka jana.
Kulingana na taarifa zilizotolewa...
Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s
Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra
Sasa ningependa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.