bus

  1. Dr Matola PhD

    Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

    JF be the first to know, Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia. Ukweli ni kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa...
  2. P

    Naweza kupata basi la saa 5 usiku kutoka Mwanza kwenda Musoma?

    Wakuu, naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku?
  3. kocha Nabi

    Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

    Hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR.
  4. Acha Dhambi

    Travel Partner Bus jalini wateja wenu

    Nimekataa tiketi ya Mwanza kuandikiwa muda wa kuanza safari ni saa kumi na kuripoti ni saa tisa na nusu ila mpaka saa kumi na mbili bus halijaingia Mbezi yaani ni shida na usumbufu mwingi na hakuna anayeshughulika na sisi yani kama watoto yatima
  5. Abou Shaymaa

    Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  6. Mkanaani

    Basi gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita?

    Habari zenu, Naombeni msaada ni bus gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita, achana na haya yanayotokea Dar kwenda Geita. Asanteni.
  7. N

    Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasiokuwa na Seat (wanasimama)

    Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake. Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza...
  8. peno hasegawa

    Basi la Alfa lililopata ajali Nzega lilibeba abiria 78. Je, kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?

    Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria. Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78? Je, basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani? Je, orodha ya waliofariki majina yao yako wapi? Je, majina ya majeruhi 60 yako wapi? RPC Tabora, OCD Nzega na...
  9. REJESHO HURU

    Watu 20 wahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega, leo Oktoba 21, 2023

    Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP. === Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega. Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
  10. Bull Bucka

    Utapeli unaofanywa na baadhi ya "maajenti" wasio waaminifu pale Magufuli Bus Terminal ukomeshwe!

    Pamoja na kwamba Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli kimetengeneza ajira kwa watu wengi, lakini kuna jambo moja linaloendelea pale na linaonekana kufumbiwa macho na mamlaka husika. Jambo hilo ni utapeli. Juzi nikiwa kwenye pitapita zangu, nikaona watu wamemzingira mama mmoja wa makamu. Mama...
  11. Chai ya saa kumi

    Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

    Wakuu sana naomba kuuliza kampuni ipi ya bus ni nzuri kutoka Daslam to Musoma one-way? Nawasilisha
  12. LIKUD

    Anaejua bus la bei nafuu from Dar to Mwanza

    Kuna mtu namchukulia tiketi leo ili aondoke na bus la alfajiri. With much thanks in advance
  13. Wildlifer

    Narudi 'rodi', Wanazi na Wadau nijuzeni kuhusu mji wa Kigoma

    Yanga Kigali Simba Lusaka! Tuombe heri. Kwa sasa tunakamilisha tu vibali na matambiko, October kazi inaanza rasmi. Chuma itakuwa inalalia Kigoma mara 4 kwa wiki. Sasa mji huo mimi ni mgeni. Naomba wanazi tupeane dondoo za mkoa huu kibiashara. Pia kimakazi maeneo yapi yanafaa. Mitaa ipi ya...
Back
Top Bottom