bus

A bus (contracted from omnibus, with variants multibus, motorbus, autobus, etc.) is a road vehicle that carries significantly more passengers than an average car or van. It is most commonly used in public transport, but is also in use for charter purposes, or through private ownership. Although the average bus carries between 30 and 100 passengers, some buses have a capacity of up to 300 passengers. The most common type is the single-deck rigid bus, with double-decker and articulated buses carrying larger loads, and midibuses and minibuses carrying smaller loads. Coaches are used for longer-distance services. Many types of buses, such as city transit buses and inter-city coaches, charge a fare. Other types, such as elementary or secondary school buses or shuttle buses within a post-secondary education campus, are free. In many jurisdictions, bus drivers require a special large vehicle licence above and beyond a regular driving licence.
Buses may be used for scheduled bus transport, scheduled coach transport, school transport, private hire, or tourism; promotional buses may be used for political campaigns and others are privately operated for a wide range of purposes, including rock and pop band tour vehicles.
Horse-drawn buses were used from the 1820s, followed by steam buses in the 1830s, and electric trolleybuses in 1882. The first internal combustion engine buses, or motor buses, were used in 1895. Recently, interest has been growing in hybrid electric buses, fuel cell buses, and electric buses, as well as buses powered by compressed natural gas or biodiesel. As of the 2010s, bus manufacturing is increasingly globalised, with the same designs appearing around the world.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukweli wa Ajali ya bus la Mkombe luxury hiki ndicho kilichotokea, Ukweli utatuweka huru

    JF be the first to know, Hatimaye mafuta na maji vimeanza kujitenga na ukweli unawekwa wazi ingawa si rahisi Kwa media za Bongo kupata hizi taarifa, tunazipata wa ndani tuliopo kwenye Circe za Kibaharia. Ukweli ni kwamba kuna Watanzania watu wakiongozwa na msela Mavi mmoja wa Mbagala anaitwa...
  2. P

    Naweza kupata basi la saa 5 usiku kutoka Mwanza kwenda Musoma?

    Wakuu, naweza kupata bus za kutoka mwanza kwenda musoma saa 5 usiku?
  3. Basi la Mkombe Luxury Coach South Africa-Dar lapata ajali mbaya

    Hii imetokea leo huko Zambia. ilikuwa inatoka South Africa kuja DAR.
  4. Travel Partner Bus jalini wateja wenu

    Nimekataa tiketi ya Mwanza kuandikiwa muda wa kuanza safari ni saa kumi na kuripoti ni saa tisa na nusu ila mpaka saa kumi na mbili bus halijaingia Mbezi yaani ni shida na usumbufu mwingi na hakuna anayeshughulika na sisi yani kama watoto yatima
  5. Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  6. Basi gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita?

    Habari zenu, Naombeni msaada ni bus gani linaloanzia Dodoma kwenda Geita, achana na haya yanayotokea Dar kwenda Geita. Asanteni.
  7. N

    Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasiokuwa na Seat (wanasimama)

    Unakuta BUS limeandikwa VIP/VVIP lakini likifika mahali linapandisha abiria wasio na siti Kuanzia Ally stars BUS wanaoisifia , katarama BUS na Bus zingine nyingi hali hii inafanyia abiria wake. Unakuta umepanda bus kila abiria amekaa katika seat yake ikifika mahali Bus linaruhusu kupakiza...
  8. Basi la Alfa lililopata ajali Nzega lilibeba abiria 78. Je, kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78?

    Mimi sio mwenyeji sana wamabasi ya abiria. Ninaomba kuuliza! Je kuna basi lenye uwezo wa kubeba abiria 78? Je, basi hilo lilitokea mwanza je lilikaguliwa popote na polisi njiani? Je, orodha ya waliofariki majina yao yako wapi? Je, majina ya majeruhi 60 yako wapi? RPC Tabora, OCD Nzega na...
  9. Watu 20 wahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega, leo Oktoba 21, 2023

    Ajali Uchama Nzega: Basi la Alpha limegongana na lori la GBP. === Watu 20 wanahofiwa kufariki baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori mjini Nzega. Akitoa taarifa ya ajali hiyo leo Jumamosi Oktoba 21, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora Richard Abwao amesema ajali hiyo...
  10. Utapeli unaofanywa na baadhi ya "maajenti" wasio waaminifu pale Magufuli Bus Terminal ukomeshwe!

    Pamoja na kwamba Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli kimetengeneza ajira kwa watu wengi, lakini kuna jambo moja linaloendelea pale na linaonekana kufumbiwa macho na mamlaka husika. Jambo hilo ni utapeli. Juzi nikiwa kwenye pitapita zangu, nikaona watu wamemzingira mama mmoja wa makamu. Mama...
  11. Naomba kujuzwa usafiri wa moja kwa moja wa bus kutoka Dar mpaka Musoma

    Wakuu sana naomba kuuliza kampuni ipi ya bus ni nzuri kutoka Daslam to Musoma one-way? Nawasilisha
  12. Anaejua bus la bei nafuu from Dar to Mwanza

    Kuna mtu namchukulia tiketi leo ili aondoke na bus la alfajiri. With much thanks in advance
  13. Narudi 'rodi', Wanazi na Wadau nijuzeni kuhusu mji wa Kigoma

    Yanga Kigali Simba Lusaka! Tuombe heri. Kwa sasa tunakamilisha tu vibali na matambiko, October kazi inaanza rasmi. Chuma itakuwa inalalia Kigoma mara 4 kwa wiki. Sasa mji huo mimi ni mgeni. Naomba wanazi tupeane dondoo za mkoa huu kibiashara. Pia kimakazi maeneo yapi yanafaa. Mitaa ipi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…