Uongozi sio misuli au kubobea sana kwenye fani fulani. Uongozi hauhusiani na kunyanyua vitu vizito au kufanya vitu mwenyewe mwenyewe, bali uwezo wa kuunganisha watu na kuwasaidia kufikia malengo ya pamoja.
Dunia haina tatizo la wataalam wa vitu mbalimbali, bali ina tatizo kubwa la uhaba wa watu...
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na...
Poleni kwetu sote juu ya kuondokewa na Mzee wetu John Magufuli, kifo ni kifo na kamwe hakizoeleki.
Napenda kuwashukuru sana Wafuasi na Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kwa maneno ya busara hasa katika kipindi hiki cha msiba, naomba nieleweke kuwa wenzetu wa CCM wasingeweza kuwa na...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ametoa rai kwa wafanyabiashara kuepuka kufanya migomo isiyokuwa na tija badala yake kutumia hekima na busara kuwasilisha hoja zao serikalini.
Mndeme ametoa rai hiyo wakati anazungumza katika kikao cha wafanyabiashara Mkoani Ruvuma kilichofanyika hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.