Uongozi sio misuli au kubobea sana kwenye fani fulani. Uongozi hauhusiani na kunyanyua vitu vizito au kufanya vitu mwenyewe mwenyewe, bali uwezo wa kuunganisha watu na kuwasaidia kufikia malengo ya pamoja.
Dunia haina tatizo la wataalam wa vitu mbalimbali, bali ina tatizo kubwa la uhaba wa watu...