business

  1. T

    Real estate business Tanzania inaelekea kufa kabisa, kwa sasa inapumulia mashine

    Biashara ya kujenga na kupangisha Tanzania inaelekea kufa kabisa. Sasa hivi hii biashara inapumulia mashine ICU. Kwa wakazi wa Dar es Salaam mtakuwa mashahidi, malls nyingi na majengo mengi ni matupu miaka sasa, Mkuki house sasa inaanza kujaa panya, Quality Centre and Plaza mnajua...
  2. Jamii Opportunities

    Nafasi ya kazi GSM: Business Development Manager

    Position: Business Development Manager Reporting to: General Manager dotted line to Chief Commercial Officer Responsibilities: Oversee entire sales of GSM Home Products countrywide channeled to Key Accounts Understand requirements and champion bidding process to win tenders from...
  3. Z

    Anatafutwa Business Partner kwa ajili ya kusimamia biashara ( Mtaji upo)

    Wadau Natafuta mtu wa kusimamia biashara ninayotaka kuanzisha ( bidhaa ndogo ndogo) , awe na sifa zifuatazo; 1. Awe na uzoefu na upeo wa kufanya biashara hasa za bidhaa ndogo ndogo 2. Awe na uzoefu katika mambo ya kutafuta masoko 3 .Awe na elimu ya kawaida lakini ambayo imempa upeo...
  4. Jamii Opportunities

    Business Development Coordinator at ISACA Tanzania Chapter

    ISACA Tanzania Chapter became operational in March 2002 and became the fourth country in Africa to formulate the local chapter. The idea to formulate a Chapter started in 1999 with the objectives of raising awareness in the areas of information system auditing, security and control due to the...
  5. YEHODAYA

    Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya. A business administrate?

    Hivi inakuwaje mtu kasoma business administration degree halafu hawezi fungua hata genge la kuuza nyanya a business administrate? Genge la kuuza nyanya mtaji elfu 20 Hizo skili zake za business administration anataka akazionyeshee wapi?
  6. F

    BRELA ( Business Registration and Licensing Agency) kuna matatizo makubwa! Waziri wa Viwanda na Biashara tunakuomba uingilie kati haraka!

    Matumizi ya teknolojia yanapochukua nafasi kila mtu anategemea ufanisi kuongezeka! Hii imekuwa kinyume kabisa kwa BRELA, inaumiza, kuleta hasira na hasara sana kwa Wafanyabiashara. Mwaka jana mwezi wa nne 2020 nilianza mchakato wa kuhuisha taarifa za kampuni yangu ili kuomba leseni za...
  7. Kevin85ify

    Projects that will cement Nairobi status as the top business hub in sub-Saharan Africa

    That Nairobi is currently a huge construction site is not in doubt. Here are a select few projects that will change the face of Nairobi over the next 2 years and cement Nairobi as the preferred Business hub of sub-Saharan Africa. Nairobi commuter Rail (Phase 2) After an outstanding two...
  8. J

    Export business - From Tanzania to the world

    Heshima kwa wapambanaji wote! Itoshe kusema itifaki imezingatiwa, na kwa heshima kubwa, napanda jukwaani nikilenga kujadili hili jambo la Export business! Kwanza, hapana shaka kwamba Tanzania & East Africa na Africa kwa ujumla ni sehemu ambazo zimepata upendeleo sana katika raslimali ardhi na...
  9. B

    Business Partner are needed

    Habari wana jamii! Nina business idea ya app ya matangazo kama KUPATANA AU JIJI , ila hii idea yangu iko tofauti kidogo na iko very niche. Nahitaji business partner 1 mwenye 2M au 2 wawili kila mmoja ana 1M, na kila mmoja nitampa share ya 40% na 20% nachukua mimi kama mbeba maono. Kama upo...
  10. Biashara Nafuu

    The Restaurant Business Planner

    Do you plan to start a Restaurant and yet to get clarity on the following : What equipment you require? Kitchen, Preparation, Cooking, Dinner and other? In what quantities? How much will the equipment cost? What about the premises ? What are the possible renovations required? How much will...
  11. S

    Business Portal kwa ajili ya kuombea leseni bado inafanya kazi

    Wana Forum ningependa kujua kama hii Business Portal Kama bado inatumika kuombea leseni. Nimejaribu kufanya application haitoi majibu. Nafahamu fedha nyingi imetumika kutengeneza hii portal na imefanya kazi kwa mda mfupi tu na tumerudi kulekule kwenye manual. Serikali inajitahidi lakini...
  12. Kevin85ify

    Nairobi Picks The Title Again (Africa's Leading Business Destination 2020)

    Nairobi has been ranked Africa’s leading business travel destination for 2020 by the 27th installment of the World Travel Awards. The awards also ranked Kenya as Africa’s Leading Destination. The news was unveiled during the inaugural Africa Winners Day hosted by World Travel Awards– a global...
  13. Dr. Zaganza

    Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Ya Nywele

    Namshukuru Mola tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji. Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni 1.Udongo tiba 2. Sabuni za udongo 3.Lotion...
  14. Chizi Maarifa

    The Family Business ni Tv Series ya hovyo iliyonishinda kuiangalia

    Carl Weber inawezekana ni very Amateur katika ulimwengu wa Film na Series. Nliona sana BET wakiitangaza hii Series yenye ushiriki wa Black Americans wengi. Nikashawishika kuipata niitizame. Kiukweli ni TV Series ya kuangalia na watoto wadogo na housegirls wa kibongo. Sisi watu wazima ni ngumu...
  15. UKWELIYAKINIFU

    Magufuli emulating the Vietnam’s revolution, Lissu should learn from Singapore the role of government in business!

    Firstly am delighted to realize differences in some policy propositions by Tundu Antipus Lissu — the Chadema opposition presidential candidate against those of the incumbent and the ruling party Chama cha Mapinduzi presidential candidate, Dr. John Pombe Magufuli. One of those important policy...
  16. Dr. Zaganza

    Business Partner Anahitajika Katika Upanuzi wa uzalishaji Sabuni za ngozi na Mafuta Nywele

    Namshukuru tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa upungufu wa mtaji. Tumeweza zalisha bidhaa 5 ambazo ni 1.Udongo tiba 2. Sabuni za udongo 3.Lotion 4...
  17. B

    Unahitaji Proposal, Business Plan na Marketing Research?

    Kwa wale wanaohitaji business plan, proposal na research, tafadhali wasiliana nami at humble2080@gmail.com. Ninatengeneza vitu tajwa hapo juu kwa ubora wa hali ya juu sana. Bei za vitu hivyo zinatofautiana na ni makubaliano baina yetu. Karibuni inbox au ktk email tajwa hapo.
  18. Masokotz

    Building a business Model-Kuna umuhimu?

    Habari za wakati huu; Moja kati ya ya changamoto zinazowakaili wajasiriamali wengi huwa zinasababishwa na kutokuelewa hasa msingi wa muundo wa biashara yao(Business Model) Wengine huanza biashara ila kuwa na business model na wengine hujikuta wakianza vizuri ila wakifika katikati wanaacha...
  19. MK254

    Nyayo National Stadium open for business

    Aerial view of Nyayo National Stadium that is set to be reopened after three years of renovations in this photo taken on September 25, 2020. What you need to know: The refurbishment has been spectacular with the venue now capable of hosting any world-class event, with the Kip Keino Classic...
  20. Masokotz

    INAUZWA Super Bonus Business Plan kwa Vijana 32 wa Kitanzania

    Hii Business Idea ni Idea ya kawaida sana ambayo vijana wengi wanaweza kufanya inachohitaji tu ni utayari,muda na mtaji kidogo.I tabadilisha sana mfumo wa Utendaji katika sekta husika na pia itaongeza thamani ya huduma kwa wateja.Ina potential ya kutengeneza Mapato makubwa sana kwa vijana hawa...
Back
Top Bottom