Kulikuwa na asili ya Warusi waishio Mbagala na Buza ni jina walilopewa kwenye mijadara ya mitandao ya kijamii mpaka hapa JF.
Hawa Warusi wa Buza na Mbagara kipindi vita inaanza tulikuwa tunawagopa sana kwa habari zao na jinsi walivoipa urusi uchambuzi na propaganda zao kuhusu putin.
Ila mpaka...
Nimepokea taarifa usiku huu kutoka kijijini Kishanje, Bugabo Bukoba, akitaarifu kutekwa kwa kijana Danstan Daudi Mutajura (pichani juu) anayefanya kazi Jijini Dar es Salaam.
Dastan ametekwa jana majira ya saa 4 asubuhi maeneo ya Sigara, TANESCO, Buza Jijini Dar es Salaam wakati akienda kazini...
Mi’ huwa nikisikiaga watu wanatwangana huko ulaya, Asia na kwingineko huwa nafurahi tu, acha watwangane tu na hata wamalizane, kwangu haina shida.
Kwa nini?
Wao wanatusababishia vita huku, wanachukua madini na vinginevyo na kusepa, so how come leo nikisikia watu wanatwangana nihuzunike? Je...
KWAKO MH MSAJILI
NIMEONA CLIP MOJA YA KIJANA MMOJA MPENDA MTANDAO KAMA NDUGUYETU YULE KIBOKO YA WACHAWI
HUYU BWANA ANASEMA HANA MPANGO WA KUFUNGUA KANISA ANAFUNGUA SEHEMU YA KUABUDIA
MWENYE DINI YOYOTE AJE NA AJALAZIMISHA MTU KUJA
AMESEMA YUKO KWENYE PROXESS ZA KUOMBA USAJILI
NAOMBA KABLA...
Injili lazima iendeleeeee....
PAMEANZA KUCHANGAMKA SASA😂😂
ENEO LILIPOKUWA KANISA LA KIBOKO YA WACHAWI LANUNULIWA NA BISHOP EDWARD, MCHUNGAJI KIONGOZI WA MAKANISA YA BETHELEHEMU REVIVAL CHURCH
BISHOP EDWARD ANASEMA👇👇👇👇
"TUMEMUONDOA MUNGU WA BAALI NA TUMEMLETA MUNGU WA KWELI"
Tumeona taarifa kwenye vyombo vya habari yenye kichwa cha habari kinachosema, "RPC; ANAYEDAIWA KUBAKWA NA KULAWITIWA ALIKUWA KAMA ANAJIUZA", kauli inayodaiwa kutolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma. Hayo yametokana na mazungumzo kwa njia ya simu na Mwandishi wa gazeti la Mwananchi ambaye...
Ukizingatia "hype" ya mitandaoni watu wapo "aggressive"kutaka kuona wanaume waliofanya matendo ya kishetani kwa wale mabinti kutaka kuona wanawajibishwa haraka iwezekanavyo,huku mkuu wa mkoa na wale wanajeshi wakiwa nyuma ya nondo wakilia na kusaga meno.
2. Sisi kama wazazi wenye watoto wa...
Taarifa za uhakika ni kwamba Kakimbia nchini baada ya kuambiwa kuwa angeweza Kukamatwa hasa baada ya baadhi ya Waumini waliokuwa Wakisali pale Kwake kulalamika kuwa Wametapeliwa nae sana huku Wengine wakitaka Kumshtaki kwa kusababisha Ndoa zao Kuvunjika na Familia zao kuwa katika Uadui na Chuki...
Serikali Kiboko ya Wachawi anahamisha masanduku yasiyojulikani kuna nini ndani yake yanapitishwa porini na waumini wake yeye amekaa mahali hapo porini kuzipokea. Kuna nini? Kwa nini mtu huyu bado ana pasipoti?
Rais Samia utaingia kwenye mgogoro. Toa agizo huyu mtu akae ndani hadi baada ya...
Nisikuchoshe usinichoshe..! Wasalaam.
Mimi ni mkazi wa maeneo ya Buza ambaye katika harakati zangu kila siku usafiri wangu ni daladala kutoka Buza kwenda mjini kujitafutia mkate wa kila siku
Kero zetu kubwa huku ni usafiri na inayotunyemelea ni ya barabara kuharibika pasipo marekebisho tangu...
Kama kuna utumwa wa akili unaoingia watu kwa Kasi siku hizi, basi ni hizi Imani kwa manabii;
✓ Unapofika utapigwa neno
(na Ukweli ni kwamba sio neno la Mungu kwa kumaanisha, Bali ni promo tu), wakimaliza mtaambiwa TOA SADAKA. Halafu utaambiwa nunua maji na mafuta (ambavyo vitakugharimu tena...
Wazazi na Walezi Salaam.
Nawakumbusha kuwatakia Watoto wenu wote chini ya umri wa miaka 18 Heri ya Siku ya Mtoto wa Afrika Leo Juni, 2024.
Wapeni Wosia kuwa: wamshike Sana Elimu, wasimuache aende zake....🇹🇿🤝✍🏻
Zaidi ya yote tuseme nao kuhusu janga la ukatili dhidi yao, tusiwaonee aibu maana...
Habari Mabibi na Mabwana.
Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kero, Kero hii inihusiana na usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza ( kwa Lulenge hadi Kanisani). Hapo awali usafiri wa daladala kutokea maeneo tofauti kwenda Buza gari zilikuwa zinaenda hadi Buza Kanisani ( mwisho wa gari)...
Tena Mimi naona huyo Dada wa Nyoka ana Nafuu kwa huo Utapeli ila Matapeli halisi na Wezi wa Umasikini wa Watanzania wengi kwa njia ya Imani yao ya Uwongo na Kweli wako Tanganyika Packers Kawe, Buza kwa Lulenge na Kimara Temboni.
Kuna tabia ambayo imekuwepo kwa muda, awali ilianza kama kitu kidogo kwa kufanywa na watu wachache lakini sasa hivi inazidi kuwa kama ndivyo uhalisia.
Daladala za kutoka Kawe kwenda Buza (Dar es Salaam) hasa nyakati za jioni zimekuwa na kawaida ya kutokamilisha ‘ruti’, zinaishia Buguruni kisha...
Habari zenu wapendwa na Moderators.
Ni kitambo sana sijaaandika kitu humu jamii forums, ila leo nimeamua kuandika hii kero ambayo imenikumba mara kadhaa.
Ninaomba, hii taarifa iwafikie LATRA, SUMATRA CC, na Jeshi la Police Tanzania kitengo cha usalama barabarani, pia iwafikie umoja wa...
Hivi inawezekana kweli DalaDala za Mbagala - Kawe au Tegeta - Kivukoni lililojaza hadi Milangoni ( huku wengine Wakijambiana bila Aibu wala Huruma kwa kwenda mbele humo ndani ) eti atokee Mama ambaye Mwanae kapatwa na Joto Kali la Homa au Malarial halafu Kondakta amuamuru Dereva wake ageuze Gari...
Habari za Jioni wa JF....
Nimekuwa nikifatilia tetesi kadhaa kuhusu maeneo ya Jiji la Dar es Salaama yanayojulikana kama Buza kwa Mpalange.
Hii ilinipa shauku ya kwenda na kutembelea haya makaazi.... kuwa ni maeneo yaliyosahaulika kimaendeleo na kusababisha maoni tofauti kwa kila wananchi ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.