Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS.
Kwamba hatishiki wala kukuruka.
Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao.
Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin...
Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden.
Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na hana ubinadam ila huko Demokrasia inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata kutaka kujua why alikuwa...
Kulikoni wale wafuasi kindakindaki wa yule wakimwita mwamba Putin tokea pande za Buza kutokomea kusikojulikana?
Au tuseme hawajauona umuhimu wa kujaza hilo ombwe lililoachwa na wale ndugu zao wa Wagner?
Si waswahili walisema ukipenda boga upende na ua lake?
Wako wapi kina Yericko Nyerere na...
GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai.
Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
Kama tunavyoelezana kila siku kuwa hakuna aliye juu ya Sheria. Mkionewa muwe mnachukua hatua bila kutizama sura ya mtu. Yeyote anaweza kushitakiwa, akakutwa na hatia na akatumikia adhabu.
Tarehe 4/4/2023, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, Mheshimiwa JOHN...
Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote.
Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo
Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao?
Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea?
Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
Urusi imeanza kazi ya kuyagawa Maeneo manne ya Ukraine inayokaliwa na Urusi yameanza kufanya kura za maoni, ambazo zimeshutumiwa kuwa haramu na Kyiv na zinaonekana kufungua njia kwa Moscow kunyakua rasmi baadhi ya asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine.
Upigaji kura katika Luhansk na Donetsk...
Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange.
Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine.
Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
Imeletwa na mwananchi, namsaidia kuifikisha JF:
👇🏾👇🏾👇🏾
Naomba niripoti hii kwa sehemu husika hasa iwafikie walengwa ambao ni viongozi, either wenyeviti wa serikali za mitaa, Diwani ama mkuu wa wilaya DC Jokate Mwegelo.
Naomba mtambue wananchi wenu tunaoata tabu sana na hzo barabara tajwa...
Nimekuta twitter :D:D:D:D
BUZA kuna Bar hiyo meneja wa bar akikuona unanunua Sana bia anamtuma mhudumu akupe na remote ya Tv ukae nayo ubadilishe channel unazotaka Kuangalia
Nawasalimu kwa jina la makato mapya ya tozo.
Jamani Mheshimiwa Simbachawene na kamanda Sirro bila kumsahau kamanda Murilo tafadhalini kiangalieni kituo kidogo cha polisi Buza.
1. Kituo kina zaidi ya miezi mitatu kimefungwa yaani pachafu kama nini
2. Hakina umeme
3. Hakina maji mahabusu sijui...
Habari wadau..!
Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho.
Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza .
Ila sasa nina familia...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza.
Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza.
1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa.
2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani?
3.Mapolisi hawazidi...
Najua nafasi katika Kanisa Anglican jimbo la Tanzania na hususani Dayosisi ya Dar es Salaam ndio maana nakuomba sana mh Prof Kabudi utusaidie kumng'amua aliyeuza kiwanja cha Kanisa kule Buza ili kijengwe kituo cha daladala.
DC Gondwe ambaye pia ni mwana St Alban japo yeye ni Mlutheri wa Mbezi...
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa.
Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama...
Kama kuna sehemu nilikuwa naisikia na kuona ni eneo ambalo baya kuna kila aina ya uhaini ukabaji yaani kila aina mambo mabaya ni Manzese, muda muda si muda kukaibuka Buza yaani kila jambo baya utasikia, huku ikanifanya kidogo niende kutembea kuona hayo yanayosemwa.
Aisee Buza tofauti na...
Wilaya masikini kabisa kwa mkoa wa Dar es Salaam ni Temeke, wilaya yenye watu duni kabisa ni Temeke, wilaya iliyochelewa kabisa kimaendeleo ni Temeke.
Hata mipango na miundombinu duni kabisa ni Temeke. Inaongoza kwa uchafu pia.
Jambo la kushangaza nimepita soko Tandika kuna mitaa imepangwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.