buza

George Buza (born January 7, 1949) is an American-Canadian actor who is best known for voicing Beast in the X-Men Animated Series.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Putin kukacha kwenda Sauzi kulikoni kimya hiki kutokea Buza?

    Ilikuwa makelele moja kwa moja ooh, mwamba Putin atatinga Sauzi kwenye mkutano wa BRICS. Kwamba hatishiki wala kukuruka. Ajabu na kweli tumesubiri wee hakuna cha Putin, Yeriko wala wale warusi nguli kutokea Buza walioweza kuyarejelea majigambo yao. Kwamba alikuwa busy na Yevgeny Pighozin...
  2. T

    Kijana aliyetushia uhai wa Rais Biden auawa

    Moja ya story nimeipenda ktk kupitapita mtandao I ni hii ya kijana mmoja huko Marekani kuuwawa na FBI baada ya kutisha Uhai wa Rais Biden. Je ingekuwa kwetu Tz tungesema mengi Rais dictator na hana ubinadam ila huko Demokrasia inapozaliwa jamaa wamemlaza down bila hata kutaka kujua why alikuwa...
  3. B

    Wagner walipokinukisha warusi wa Buza waliishia wapi?

    Kulikoni wale wafuasi kindakindaki wa yule wakimwita mwamba Putin tokea pande za Buza kutokomea kusikojulikana? Au tuseme hawajauona umuhimu wa kujaza hilo ombwe lililoachwa na wale ndugu zao wa Wagner? Si waswahili walisema ukipenda boga upende na ua lake? Wako wapi kina Yericko Nyerere na...
  4. Kwa jinsi DalaDala za Mbagala-Kawe, Gerezani-Kawe na Buza-Kawe zinavyopata tabu kugeuza, tutegemee ajali kubwa siku moja

    GENTAMYCINE ni Mtetezi Huru wa kila Kada za Watu na leo nimeamua Kutetea DalaDala za Ruti tajwa hapo juu kwa jinsi zinavyonyanyasika wakati wa Kugeuza zikifika Kawe mwisho eneo la Masai. Kinachonisikitisha zaidi ni kuona aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla Kushindwa kulitatua...
  5. Dar es Salaam: Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Buza ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Kama tunavyoelezana kila siku kuwa hakuna aliye juu ya Sheria. Mkionewa muwe mnachukua hatua bila kutizama sura ya mtu. Yeyote anaweza kushitakiwa, akakutwa na hatia na akatumikia adhabu. Tarehe 4/4/2023, Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam, Mheshimiwa JOHN...
  6. M

    Mnaposema Dar es Salaam itapata maji 100% ni ipi hiyo? Ile ya Mabwanyenye wa CCM na washirika wao? Vipi madongo poromoka kama Buza na Mbagala?

    Nina hakika mtandao maji ya Dawasa haujtandaa Dar yote. Ni baadhi ya maeneo tu ndio kuna mtanado huo Sasa hao wanaokaaa madongo poromoka mnawafikiria vipi na wao? Mtakuwa mnajaza waterbowser na kuwapelekea? Ndiyo kusema mnaposema Dar mna maanisha mnapooshi nyie mabwanyenye?
  7. Haya wale Wayukrein wa Buza njoo kuna jambo huku!!

    Urusi imeanza kazi ya kuyagawa Maeneo manne ya Ukraine inayokaliwa na Urusi yameanza kufanya kura za maoni, ambazo zimeshutumiwa kuwa haramu na Kyiv na zinaonekana kufungua njia kwa Moscow kunyakua rasmi baadhi ya asilimia 15 ya ardhi ya Ukraine. Upigaji kura katika Luhansk na Donetsk...
  8. Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  9. Kero: Barabara za Jeti kwa Gude na Buza Kanisani

    Imeletwa na mwananchi, namsaidia kuifikisha JF: πŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎπŸ‘‡πŸΎ Naomba niripoti hii kwa sehemu husika hasa iwafikie walengwa ambao ni viongozi, either wenyeviti wa serikali za mitaa, Diwani ama mkuu wa wilaya DC Jokate Mwegelo. Naomba mtambue wananchi wenu tunaoata tabu sana na hzo barabara tajwa...
  10. N

    Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
  11. BUZA BAR FLANI

    Nimekuta twitter :D:D:D:D BUZA kuna Bar hiyo meneja wa bar akikuona unanunua Sana bia anamtuma mhudumu akupe na remote ya Tv ukae nayo ubadilishe channel unazotaka Kuangalia
  12. Waziri Simbachawene, IGP Sirro kiangalieni kituo cha polisi Buza

    Nawasalimu kwa jina la makato mapya ya tozo. Jamani Mheshimiwa Simbachawene na kamanda Sirro bila kumsahau kamanda Murilo tafadhalini kiangalieni kituo kidogo cha polisi Buza. 1. Kituo kina zaidi ya miezi mitatu kimefungwa yaani pachafu kama nini 2. Hakina umeme 3. Hakina maji mahabusu sijui...
  13. Maeneo gani ni mazuri kwa kuishi na familia hapa DsM

    Habari wadau..! Zamani wakati nipo chuo pale Mlimani nilikuwa naamini maeneo mazuri kwa kuishi DsM ni Sinza na Survey maana maeneo hayo yana totozi nzuri na bata za kufa mtu kwa kipindi hicho. Hivyo nilijitahidi kila mwaka wa masomo lazima nipate chumba Survey au Sinza . Ila sasa nina familia...
  14. Kamanda Sirro, wakazi wa Buza tunaomba ufanye yafuatayo kwenye kata ya Buza

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Buza. Jeshi la polisi ndugu IGP Sirro tafadhali sana tunaomba uboreshe mazingira kwenye kituo cha polisi Buza. 1. Kituo hakina umeme, ikifika saa 11 jioni panakuwa kimyaaaa. 2.Kituo hakina maji, sijui mahabusu wanajisafisha na majani? 3.Mapolisi hawazidi...
  15. J

    Prof. Kabudi tusaidie kumng'amua aliyeuza eneo la Kanisa Anglican kule Buza na kumfanya DC Gondwe kuchachamaa sana!

    Najua nafasi katika Kanisa Anglican jimbo la Tanzania na hususani Dayosisi ya Dar es Salaam ndio maana nakuomba sana mh Prof Kabudi utusaidie kumng'amua aliyeuza kiwanja cha Kanisa kule Buza ili kijengwe kituo cha daladala. DC Gondwe ambaye pia ni mwana St Alban japo yeye ni Mlutheri wa Mbezi...
  16. J

    DC Gondwe: Tunajenga Flyover tatu Chang'ombe mataa, Uhasibu mataa na Buza. Hakuna kama CCM lazima tukubali!

    Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri. Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo nyingine zikiwa ni za Chang'ombe mataa na Uhasibu mataa. Gondwe amesisitiza kuwa hakuna chama...
  17. Leo nimepita Buza, aisee tofauti na nilivyokuwa napafikiria na kupasikia

    Kama kuna sehemu nilikuwa naisikia na kuona ni eneo ambalo baya kuna kila aina ya uhaini ukabaji yaani kila aina mambo mabaya ni Manzese, muda muda si muda kukaibuka Buza yaani kila jambo baya utasikia, huku ikanifanya kidogo niende kutembea kuona hayo yanayosemwa. Aisee Buza tofauti na...
  18. Kipindi hiki cha mvua Tandika siyo sehemu ya kwenda kabisa

    Wilaya masikini kabisa kwa mkoa wa Dar es Salaam ni Temeke, wilaya yenye watu duni kabisa ni Temeke, wilaya iliyochelewa kabisa kimaendeleo ni Temeke. Hata mipango na miundombinu duni kabisa ni Temeke. Inaongoza kwa uchafu pia. Jambo la kushangaza nimepita soko Tandika kuna mitaa imepangwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…