bwawa la nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Mpina: Spika Tulia unda Tume za Bunge kuchunguza 1. Kuchelewa Bwawa la Nyerere 2. Kupanda bei za mafuta 3. Bei za Mbolea

    Mbunge mh Mpina leo ameichambua Bajeti ya serikali kikamilifu na haya yamejiri: Mosi, amehoji kwanini Serikali inataka kuibadili ranchi ya Mifugo Kongwa kuwa shamba la alizeti ilhali kuna mapori chungu nzima? Pili amewataka wabunge wakatae pendekezo la kuruhusu Waziri wa Fedha awe anatoa...
  2. J

    Hayati Magufuli alisitisha ongezeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa Bwawa la Nyerere

    Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere. Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine. CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
  3. M

    Kutokukamilika kwa Mradi wa Umeme Rufiji mwaka 2022 kama ilivyotakiwa na sasa Kukamilika 2024 ni Kumtukana na Kumdhalilisha Hayati Dkt. Magufuli

    Nimeziona sababu alizozitoa MD wa Tanesco Maharage Chande sijaona hata moja inayoingia Akilini. Sehemu iliyonishangaza zaidi ni kuona MD wa Tanesco Maharage Chande akitutaka Watanzania tuache Kulaumu / Kulalamika huku akituasa tutoe Ushirikiano. Hivi Wewe MD wa Tanesco Maharage Chande yaani...
  4. voicer

    Rais Samia tembelea Ujenzi wa Nyerere Hydroelectric Dam

    Mh Rais wa JMT. Jana wakati ukizindua na kukabidhi nyumba kwa wakazi wa Magomeni Quarters. Ulikaririwa ukisema kwamba,watu huko mitaani wanaongea kwamba miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na JPM huenda haitakamilishwa. Lakini ukautumia mradi ule wa Magomeni Quarters kama uthibitisho wa...
  5. Artificial intelligence

    Mradi wa Bwawa la Nyerere(MW 2115) upo nyuma kwa asilimia 44, nguvu zimeelekezwa kwenye gesi (MW 1600)

    Kiukweli inasikitisha sana mradi wa bwawa la Nyerere huenda usikamilike kabisa. Mkurugenzi mkuu TANESCO, Mhe. Maharage Chande nilimsikia akisema kwa sasa wanaanza na kufunga mitambo kwa ajili ya umeme wa Gas ambao jumla utazalisha MW 1600. Kwahiyo bwawa la Nyerere ambalo litazalisha MW 2115...
  6. MALCOM LUMUMBA

    Mradi wa Bwawa la Nyerere tulijilisha upepo au ndiyo mwendelezo wa siasa chafu za kibepari?

    Wazungu husema hivi "Once is an accident, Twice is a Coincidence, but Thrice is a Pattern". Hapa namaanisha nini, duniani kote ambako miradi ya namna hii yenye lengo la kuwakwamua wananchi kwenye lindi la umasikini lazima kuwepo na malalamiko. Tena nimefuatilia kwa umakini na kufahamu kwamba...
  7. FRANCIS DA DON

    Inaumiza sana kuona mradi wa bwawa la Nyerere unahujumiwa wazi wazi

    Iweje tarehe ya ujazaji wa bwawa iwe siri? Kweli Crane ya Tani 26 haijafika hadi leo zaidi ya mwezi umepita? ================================ ======================== ================================...
  8. J

    Polepole: Bwawa la Nyerere ni mradi wa kufa na kupona hatutakubali wahuni wauchezee, Winchi ni kitu kidogo sana!

    Mbunge wa viti maalumu mh Polepole amesema swala la Winchi ni kitu kidogo sana hivyo Mwekezaji asimamiwe ipasavyo ili mradi uishe kwa wakati. Mradi wa Bwawa la Nyerere ni wa kufa na kupona, amesema. Chanzo: Star tv PIA SOMA Arab Contractors na Elsewedy Electric Kukabidhiwa Rasmi Eneo la...
  9. mwengeso

    Kuna nini nyuma ujenzi wa bwawa la Nyerere la kufua umeme

    Mengi yamezungumzwa kuhusu ujenzi wa hilo Bwawa. La hivi karibuni ni pale Waziri husika alipodai mkondrasi wa ujenzi, ambaye ana utaalamu, ujuzi, uzoefu na uwezo mkubwa, ati hana mtambo wa kubeba (winch) wenye uwezo wa kusimika milango ya kuzuia maji yenye uzito wa tani 26. Au ni hadithi ile ile...
  10. Ngungenge

    Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

    Leo nilipata wasaha wa kupitia a hansard za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi. Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya...
  11. Suzy Elias

    Makamba: Mradi wa JNHPP upo nyuma kwa siku 477 (yaani mwaka na zaidi ya siku 100)

    Hivi huyo Makamba anatugeuza Watanzania wote mazwazwa eti?! Yaani mambio yooote yale ya yule msukuma Kalemani kabla hajafutwa tulipokuwa tunamuona huko Rufiji huku kazi zikiendelea eti leo Makamba anatujuza mradi upo nyuma kwa siku zote zile?! Yaani ukali wote wa Hayati JPM hasa alivyokuwa...
  12. Suzy Elias

    Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

    Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa! Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee. Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂. Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo...
  13. J

    Rais Samia atembelea ofisi za Arab Contractors nchini Misri wanaojenga Bwawa la Nyerere

    Rais Samia ametembelea ofisi za kampuni inayojenga bwawa la Nyerere iitwayo Arab Cintractors nchini Misri. Rais Samia pia amekutana na wawekezaji mbalimbali wa nchi hiyo. Waziri wa mambo ya nje mh Mulamula amesema Arab Contractors kumbe ni kampuni kubwa sana inayiongoza barani Afrika katika...
  14. U

    Dkt. Mpango: Mkandarasi wa Bwawa la Nyerere hana Uzoefu, pia mradi upo nyuma ya muda

    Wakati akitoa maelekezo alipotembelea mradi wa kufua wa umeme wa stiglers gorge , Mh. Mpango alipongeza kwa kazi nzuri unayoendelea na kuongea mengi yakiwemo 1. Mkandarasi Hana Uzoefu wa kutosha katika ufanyaji wa kazi zake huku akisema kwasababu anatumia subcontractor kwa karibu kazi zote kila...
  15. Yericko Nyerere

    Mradi wa Bagamoyo ulitakiwa uanze kabla ya Bwawa la Nyerere, Rais Samia umetuheshimisha

    NILIAMINI NIKO SAHIHI, LEO MAMA UMETUSHINDIA Na Yericko Nyerere Hureeeeee vita vyetu kwa maslahi ya Taifa tumeshinda! Asante Rais Mama Samia suluhu Hassan, nilimpinga Magufuli alipositisha mradi huu kwa hoja dhaifudhaifu na za uongo wa kiwango cha rami. Nikampinga baada ya kufariki baada ya...
  16. J

    Maji katika bwawa la Nyerere kuanza kujazwa 15/11/2021 na 13/04/2022 litakuwa limejaa tayari kwa majaribio

    Waziri wa nishati mh Kalemani amesema mradi wa umeme bwawa la Nyerere kuanza kujazwa maji November 15. Kalemani amesema hayo alipotembelea mradi huo akiwa ameongozana na waziri wa nishati wa Misri ambaye amesema bwawa litakuwa limejaa 13/04/2022 na majaribio ya mitambo ya kuzalisha umeme...
  17. R

    TANESCO yakalia fidia ya wananchi miaka mitano

    Fedha za fidia ya wananchi wanaopisha ujenzi wa njia ya mradi wa umeme kutoka bwawa la Mwl Nyerere za kwama Tanesco fedha hizi zilidhinishwa na bunge la bajeti la 2015/2016 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa kusimamiwa na Tanesco mpaka leo 2021hakuna taarifa yoyote rasimi kwamba fedha hizi...
  18. kimsboy

    Bwawa la Nyerere Rufiji ni muhimu sana tuacheni siasa katika hili

    Hichi ndo kitu pekee nitakachomkumbuka nacho Magufuli. Ile miradi ya mandege mabovu yasiyo na faida[emoji777][emoji777][emoji777] Ila huu mradi naunga mkono kabisa jamaa hapa alipatia kusema kweli. Ila kinachoniuma ni watu kuingiza siasa kwenye huu mradi hususan watu wa CCM na baadhi wa...
  19. Mzee23

    CAG: Bwawa la Nyerere liliharakiswa

    Ripoti ya CAG inatanabaisha sintofahamu kuhusu UTARATIBU wa ujenzi wa Bwawa la umeme la Nyerere mto Rufiji.. mfano, 1. Ujenzi wa bwawa ULISIMAMA KWA MIEZI MI(5) Baada ya kuta za bwawa kugharikishwa na maji. Sababu iliyobainishwa na CAG ni kuwa plan ya ujenzi ya 2017 ilitaka mikondo miwili ya...
  20. Ngaliwe

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asema Serikali itaendelea kutoa fedha kwa ajili ya mradi wa umeme wa mto Rufiji

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kutoa fedha za kugharamia mradi wa umeme wa maji ya Mto Rufiji (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 10, 2021) baada ya kukagua...
Back
Top Bottom