Wakuu habari za wikend!
Wakuu baada ya Mh, Raisi Magufuli kuruhusu shughuli na miradi ziendelee , Nime Jaribu kutafuta riziki kwenye miradi ya ujenzi inayo endelea hapa Dar bila mafanikio, huku familia ikizidi kuumia njaa, Nikaona ni bora nijaribu kuja huku kwenye ujenzi wa bwawa la Umeme...