Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE
Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power
===
Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
TANZANIA :- MAJI YA KUFUA UMEME JNHPP KUJAZWA NOVEMBA 2021
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani leo tarehe 21 Februari, 2021 katika ziara yake kwenye mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere megawati 2115, amesema zoezi la kujaza maji ya kufua umeme katika bwawa litaanza 15 Novemba 2021...
Mhandisi mkazi wa mradi wa JNHPP Rufiji maarufu Stiegler's Gorge amesema wanatumia upembuzi yakinifu wa mwaka 1980 na siyo upembuzi wa 1970. Pia design ya 2017 imefanya mabadiliko ya Upembuzi Yakinifu wa 1980. Kitu pekee ambacho hakijabadilishwa kabisa ni upembuzi yakinifu (geology) ya miamba...
Bwawa la Grand Renaissance Dam ambalo limekuwa likijengwa nchini Ethiopia kwa zaidi ya miaka 10 sasa linatajwa kuwa ndio litakuwa kubwa kabisa Afrika kwa sasa.
Bwawa hili limefikia hatua ya ujazaji maji, na Misri analalamika kwamba kiwango cha maji ya mto Nile yanayowafikia kitapungua na hivyo...
Napata wakati mgumu kuyaamini matamshi ya waziri mkuu anaposema bwawa la kuzalisha umeme linaloendelea na ujenzi litakamilika mwakani mwezi wa sita na pesa ipo.
Waziri huyuhuyu mwezi uliopita alituambia hayati Magufuli yuko kazini anachapa kazi ilhali alikua hospitali mahututi.
Waziri mkuu wa Tanzania Bwana Majaliwa leo ametembelea mradi wa ujenzi wa bwawa la umeme la Mwalimu Nyerere na kuangalia maendeleo ya ujenzi.
Majaliwa ameridhika na kasi ya ujenzi wa mradi huo na amesisitiza utakamilika kwa wakati mwaka 2022 mwezi wa 6 kama majubaliano yalivyo.
PM amesema...
Waziri mkuu wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa leo ametembelea mradi wa bwawa la Nyerere na kuwataka watanzania kuwapuuza wale wote wanaosema mradi huo hauna faida kwa nchi.
Mh Majaliwa amesema mradi huo unatarajiwa kukamilika mwezi wa 6/2022 na kukabidhiwa kwa watanzania tayari kwa matumizi.
Mbunge wa Vunjo mh Kimei ameitaka Serikali kukopa fedha nje ili iweze kukamilishz miradi ya kimkakati ya SGR na Bwawa la umeme.
Kimei amesema ni lazima miradi mikubwa ikamilike kwa wakati hivyo Serikali ikakope kwenye soko la nje ambako riba ni nafuu kati ya 5% hadi 6%
Chanzo: Star tv...
Iwapo maamuzi ya kujenga mradi wa umeme wa rufiji yalifikiwa miaka ya 70 ningependa kujua ni hasara kiasi gani nchi imepata kwa kutotekeleza mradi huu.
Yaani kwa miaka takribani 50 CAG atueleze tumenunua umeme wa mitambo ya mafuta kwa Tsh ngapi?
Je, tumeshindwa kuendeleza uchumi kwa kiasi gani...
Habari zenu wanabodi!
Hebu tujadili leo jinsi gani unaweza ukapata kazi kwenye miradi mikubwa niliyoitaja hapo juu na mengineyo.
Kwanza tumuombe Mungu aujalie uzi huu uwe na wachangiaji ambao sio wabinafsi, ambao watashare experience zao mbinu gani wanazotumia au walizotumia kupata kazi kwenye...
Kama picha inavyojieleza yenyewe, hao jamaa wanawaingiza vifaranga wa samaki bwawani, ila naona nyaya kama za umeme zimetoka kwenye switch zikaingia bwawani na kuna kichwa kikubwa tu sijui nawaza ni kwa ajili ya nini. Anayejua matumizi yake tafadhali tusaidiane maarifa. kwa kuhisi tu nikafikiria...
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) limewatahadharisha wananchi wa vijiji vilivyopo kandokando mwa bwawa la Mtera na Kidatu ambao wanaendesha shughuli zao ikiwemo kilimo, uvuvi na makazi kuwepo kwa ongezeko kubwa la maji kwenye bwawa la Mtera hivyo shirika hilo kulazimika kuyafungulia maji hayo...
TBC leo imerusha kipindi maalumu cha kumuenzi aliyekuwa Msimamizi wa Ujenzi wa Bwawa la Nyerere Injinia Kamuhaba aliyefariki January 19 katika hospitali ya muhimbili baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Injinia Kamuhaba alikuwa mwafrika wa kwanza nchini kusimamia mradi mkubwa wenye thamani ya zaidi...
Baada ya kupata ahadi ya ufadhili wa kifedha wa mradi wa bwawa la kufua umeme mto Malagarasi, shirika la umeme nchini limetangaza tenda ya kumtafuta mshauri kukamisha mradi huo.
Mradi huu wenye thamani ya zaidi ya dola za kimarekani milioni 144 utajengwa kwenye maporomoko ya Igamba kwenye mto...
Kupitia Jukwaa Tukufu,
Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water catchment dam).
katika eneo lolote litakalobainishwa na wataalamu kati ya wilaya za Kongwa, Chamwino na...
Nimepata taarifa zisizo rasmi kwamba eti lile bwawa la umeme la Rusumo linalojengwa huko Ngara Tanzania, eti switch zake za kuwashia na kusambazi umeme zinafungwa Rwanda.
Maana yake ni kwamba Tanzania itakuwa ikizalisha umeme, halafu huo umeme utasafiri hadi Rwanda, halafu Rwanda ndio itakua...
NINI TAFSIRI YA MEGAWATTS 2,115 ZA UMEME WA BWAWA LA MWALIMU NYERERE (Stiglers Gorge)?
Wengi tunaona na kusikia kuhusu habari ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa uzalishaji umeme wa maji wa Megawatts 2115 kutoka kwenye Mto Rufiji, mradi uliobuniwa na Mwalimu Nyerere toka mwaka 1975 na sasa...
Sikujua kama DRC ni matajiri kiasi hiki, wanadai DRC ina utajiri wa USD trillion 2,000 katika mfumo wa rasilimali umefukiwa chini ya ardhi, huo utajiri hata hauwezi kuandikika katika pesa ya madafu. Jionee mwenyewe kwenye video clip hapo chini.
Nasikia waEthiopia wanakamilisha bwa kubwa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.