Rais Samia Suluhu Hassan ameeleza chanzo na jinsi ya kukabiliana na mgao wa maji jijini Dar es Salaam.
Rais anaeleza chanzo cha upungufu wa maji Dar ni kupungua kwa kina cha maji katika Mto Ruvu kilichosababishwa na athari za tabia nchi.
Mheshimiwa Rais pia ameeleza hatua zilizochukuliwa na...
Ethiopia imeanza kuzalisha umeme kutoka kwenye bwawa kubwa zaidi la kuzalisha umeme barani Afrika maarufu kama 'Grand Ethiopian Renaissance Dam (Gerd)' likitarajiwa kuzalisha megawatts 5000 ambayo ni mara mbili ya umeme uliokuwa unazalishwa Ethiopia kabla ya bwawa hilo.
Kenya wamewahi kwa...
BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.
Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameibua tuhuma nzito bungeni kuhusiana malipo ya shilingi triliioni 1.5 ambazo hazijulikani zilipo alizotakiwa kulipa Mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kama malipo ya CSR na faini kuchelewesha mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere kwa miaka miwili kinyume cha...
Hizo trillion 4 zinaenda wapi wakati hata pesa za miradi muhimu kabisa hakuna?!
Ni kwanini tusikope fedha kukamilisha miradi strategic ambayo tumeshaianza?
Tunaposema Hayati Magufuli alikuwa mtu na nusu hasa kwenye mambo yaliyohusu kuamliwa kijasiri bila kujali faida na hasara zake hakika alikuwa kinara kwalo.
Mfano ni uamuzi wa kujenga hilo bwawa hapo juu (Bwawa la Nyerere) ki-ukweli ili ujenzi wake uanze ilihitaji mtu jasiri na asiyeyumbishwa...
Tanesco wametutaarifu kuwa vyanzo vyote vya mabwawa yanayofua umeme yamepatwa na upungufu wa maji na hivyo uwezo wa kuzalisha umeme ni mdogo. Consequently jana tulikuwa hatuna umeme (total blackout) kuanzia saa 4 usiku hadi saa 2 asubuhi ya leo.
Sasa hizo hela kwanini tunaziharibu na kuharibu...
Nimeona vigogo wa TANESCO wakitutahadharisha watanzania kuwa kutokana na ukame uliolikumba Taifa letu, kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, wamelazimika wao TANESCO kuanzisha mgao wa umeme nchi nzima, kutokana na mabwawa ya Kihansi, Mtera na Kidatu, kupungukiwa maji ya kuyajaza mabwawa hayo...
Umeme ni nishati muhimu sanaa katika maendeleo ya taifa la Tanzania kwani uzalishaji wa bidhaa nyingi viwandani, migodini, mashambani, wajasiriamali na nyumbani hutegemea nishati ya umeme ambayo kwa kiasi kikubwa unaotokana na maji ambao ndio unaosemekana kua nishati yenye gharama nafuu zaidi...
Mwandishi Efrahim Mabena
mawasilino:0745323576
mahali: Makambako_Njombe
Kundi la watalii walikuwa wakitembelea bwawa la ziwa na walikuwa kwenye jengo linaloelea katikati ya ziwa la mamba.
Mmiliki wa bwawa hilo alipiga kelele: "Yeyote anayeruka ndani ya maji na kuogelea hadi kutoka, atapata...
Shirika la Umeme Tanzania TANESCO limethibitisha kutokea kwa hitilafu hiyo kwenye moja ya mitambo ya kuzalisha umeme ya Bwawa la Mtera na kusababisha upungufu wa Umeme.
Mikoa 14 itakayokosa Umeme kwa muda usiofahamika ni pamoja na Ruvuma, Mbeya, Mwanza, Iringa, Manyara, Singida, Geita, Arusha...
Waziri wa Nishati, January Makamba ametembelea mradi wa Bwawa la kufua Umeme la Mwalimu Nyerere Agosti 08 2022 ili kukagua na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa na mradi huo.
"kwa sasa tumefika asilimia 67, Katika Miaka Miwili na nusu ya Mwanzo (Kuanzia Disemba 2018 - June 2021) tulifikia...
Mafundi wakijenga Kizimba ndani ya Bwawa la Nzivi, Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya ufugaji samaki
Uwekezaji mkubwa wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba imetajwa kuwa ni fursa kubwa ya uwekezaji katika Bwawa la Nzivi wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.
Hatua ya uwekezaji huo mkubwa...
Tunakumbushana tu kwamba hayati Magufuli alisitisha ongexeko la mishahara kwa sababu fedha zilielekezwa kwenye ujenzi wa Bwawa la umeme la Stiglers gorge au Nyerere.
Kwa sasa mradi uko mwishoni na fedha zinaelekezwa maeneo mengine.
CCM ni sikivu, hongera Rais Samia.
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amefanya kikao na wadau wa Sekta ya Maji wa Handeni na kuelekeza hatua za haraka kuchukuliwa, ikiwamo kusimamishwa kazi kwa Watumishi wanne wa Wizara ya Maji kufuatia kusuasua kwa kazi ya ujenzi wa bwawa la Kwankambala.
Kikao hicho kilichofanyika Jijini...
Handeni. Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameliagiza jeshi la polisi wilayani Handeni kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wawili wa wizara hiyo na mkandarasi anayejenga bwawa la Kwenkambala kwa kushindwa kumpa taarifa sahihi kuhusu ujenzi wa bwawa hilo.
Waziri Aweso ametoa agizo hilo leo Jumanne...
asante
bado
bwawa
chafu
hata
hii
kuchimba
kupotea
mahakamani
maji
milioni
pole sana
sana
taarifa
video
wahandisi
waziri
waziri wa maji
wizara
wizara ya maji
yako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.