caf chan 2024

CHAN is a major international football tournament organized by the Confederation of African Football (CAF). It was announced in 2007 and first held in 2009. CHAN is designed specifically to shine a spotlight on local talent.
  1. JamiiForums Tanzania Uwanja wa Mkapa upo tayari kwa Mbungi la CHAN

    Mwonekano wa Uwanja wa Benjamini Mkapa 'Lupaso' upo tayari kwa ajili ya michuano ya CHAN2024 Agosti 2, michuano ya CHAN itaanza kwa mara ya kwanza kutimua vumbi katika ardhi ya Tanzania. Mechi ya ufunguzi itapigwa katika dimba hilo baina ya Taifa Stars na Burkina Faso. Kumbuka bado siku 5.
  2. JamiiForums Tanzania Bado siku chache mno CHAN kuanza lakini Tanzania imepoa, hakuna promo yakutosha, mji haujapendeza kuvutia wageni

    Wakuu! Mashindano ya CHAN 2024 yanakaribia kuanza, Jumamosi Agosti 2, 2025, lakini maandalizi ya promo na hamasa bado yapo chini ya kiwango. Hakuna mabango katikati ya jiji la Dar, wala matangazo kwenye maeneo yenye mwingiliano mkubwa wa watu. Hata promo za kuhamasisha utalii na sekta nyingine...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania kufungua Michuano ya CAF CHAN 2024, Fainali kupigwa Kenya

    TotalEnergies CAF CHAN 2024: Tanzania Kuhost Mechi ya Ufunguzi, Uganda Kuhost Mechi ya Mshindi wa Tatu/Nne, Kenya Kuhost Mechi ya Fainali Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa ushirikiano na mataifa matatu yatakayohosti Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…