Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
TotalEnergies CAF CHAN 2024: Tanzania Kuhost Mechi ya Ufunguzi, Uganda Kuhost Mechi ya Mshindi wa Tatu/Nne, Kenya Kuhost Mechi ya Fainali
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa ushirikiano na mataifa matatu yatakayohosti Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN) 2024 Kenya, Tanzania na Uganda - wametangaza viwanja vitakavyotumika kwa ajili ya Mechi ya Ufunguzi, Mechi ya Mchujo wa Mshindi wa Tatu na Nne, pamoja na Fainali ya mashindano hayo.
Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN) 2024 yatakayofanyika Kenya, Tanzania na Uganda, yamepangwa kufanyika kuanzia tarehe 2 hadi 30 Agosti, 2025, yakirejesha mashindano haya kwenye ardhi ya Afrika Mashariki kwa mara ya kwanza tangu toleo la mwaka 2016 lililofanyika nchini Rwanda.
Huku Fainali ya CHAN itafanyika Nairobi, Kenya Jumamosi, Agosti 30 na mechi ya mshindi wa tatu itachezwa Kampala, Uganda.
Tanzania ndio nchi pekee itakayokuwa na makundi mawili, Dar Es Salaam Kundi B na Zanzibar Kundi D.
KUNDI A | Nairobi, Kenya: Kenya, Morocco, Angola, DR Congo, Zambia.
KUNDI B | Dar es Salaam, Tanzania: Tanzania, Madagascar, Mauritania, Burkina Faso, Central African Republic.
KUNDI C | Kampala, Uganda: Uganda, Niger, Guinea, South Africa, Algeria.
KUNDI D | Zanzibar: Senegal, Congo, Sudan, Nigeria.