uwanja benjamini mkapa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tanzania kufungua Michuano ya CAF CHAN 2024, Fainali kupigwa Kenya

    TotalEnergies CAF CHAN 2024: Tanzania Kuhost Mechi ya Ufunguzi, Uganda Kuhost Mechi ya Mshindi wa Tatu/Nne, Kenya Kuhost Mechi ya Fainali Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), kwa ushirikiano na mataifa matatu yatakayohosti Mashindano ya TotalEnergies CAF African Nations Championship (CHAN)...
  2. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tazama pitch ya Bilioni 31 iliyoidhinishwa tangu mwaka 2023 na mgombea urais wa CCM anayetaka kurudi ikulu kwa mara ya pili

  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mwonekano mpya wa Uwanja wa Mkapa, sehemu ya kuchezea kama majibu kwa CAF baada ya kuufungia

    Wakuu Video zinaachiwa kuonesha hali ya sehemu ya kuchezea gozi la Ng'ombe (Pitch) ambayo imekua gumzo baada ya wenye mpira wao Afrika, CAF kuupiga spana kwa muda kwa kukosa vigezo na kutoa angalizo kama hawatashughulikia tatizo haraka wataufungia kwa muda mrefu. Hatua hii ni kama majibu kwa...
  4. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Mapato ya uwanja wa Benjamini Mkapa ndiyo kikwazo kikubwa kwa mapacha wa Kariakoo kujenga uwanja wao

    Huwa zinaibuka kelele na kampeni za ujenzi wa uwanja/mashabiki kuchangia timu zao ili zijenge uwanja lakini mwisho wa siku kimya. Huo ni mchezo mchafu unaochezwa na viongozi wa wa klabu hizi mbili (Simba na Yanga) kwa lengo la kuwakamua mashabiki wao kidogo walichonacho. Siasa za kariakoo huwa...
Back
Top Bottom